Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwamba hujui kama EPL ni mashindano tofauti na UEFA?

Najua unajua ila umetafuta kichaka cha kujifichia.

Nitajie timu unayoshabikia nikupe matokeo yake Anfield kwa miaka hii minne.

To be clear: Mara ya mwisho Liverpool kufungwa Anfield kwenye Ligi ilikuwa tar 27 April 2017, ni zaidi ya miaka mitatu na nusu. A record your team can dream of.
Hadi sasa record ya epl home unbeaten team inashikiliwa na chelsea ,86 games ,2004-2008.
 
Tutakapokosa Ubingwa msimu huu sitolalamika sana kwani naamini majeruhi ya Wachezaji wetu mihimu yamechangia hili.

Ninachomuomba Klopp atupunguzie useless players na hawa majeruhi wa kudumu ili alete watu angalau wanaoweza kucheza mechi 30 kwa msimu.
 
Wazee hii team yetu ilianza na Moto sana now ipo kama IHEFU tu.
 
Klopp alimchezesha hivyo ili amalize dakika 90, akimaliza dakika 90 maana yake game ya leo Firmino anaanza, na Jota anakaa benchi.

Ni kama alikuwa na plan ya kumpunguza spidi ili Firmino aendelee kuanza, maana alishaanza kutishia namba.

Hata siku ya Wolves nilishangaa hakumwanzisha, uzuri tulishinda.

Klopp amekipata alichokuwa anakitafuta, front 3 yake imebaki salama. Ngoja tuone itatupa matokeo gani.
Hiyo ndo ile "mapenzi kazini " Mfanyakazi anaepiga kazi sana Bosi hamtaki Bosi anamtaka anaempenda
 
Hawana faida hao Kenge ni wakutimua wote........Mchezaji kama Keita sijawahi kuona faida yake tangu asign Liverpool sasa mtu kama huyu wa nini???Linajifanya lina miaka 24 kumbe ni zee la miaka 40......STUPID PLAYER.
Wewe acha chuki za hovyo zinakuharibia

Hivi wewe kwa macho yako Gini anafaida kuliko Keita ?
 
Baada ya kupata taarifa ya majeruhi kwa Jota, nimekata tamaa ya kuchukua ubingwa.

Jota alifufua uhai kwenye mashambulizi, na watu walianza kijituma kwa kuhofia kupoteza namba zao.

Ila sasa hivi ndo tunarudi kwenye uhalisia.
Hakika

Mapenzi ya kocha kumbakiza Firmino namba 9 tutaona
 
Tatizo la Shaqiri navoona ni uvivu tu ila nje ya hapo ni mchezaji wa maana sana


Ila Origi mechi ya jana aliniangusha
 
It's understood that Mané and Firmino have been involved in a training ground bust up. The players have had to be separated by the rest of the squad and Klopp has had a serious word with them.

[@JamesPearceLFC]
 
According to our sources, Klopp asked Mané "are you a poor finisher?" And he replied "for me no". However, Firmino misheard him and thought he replied with "Firmino". This provoked Firmino to pull Mané's hair follicles.

[@JamesPearceLFC]
 
According to our sources, Klopp asked Mané "are you a poor finisher?" And he replied "for me no". However, Firmino misheard him and thought he replied with "Firmino". This provoked Firmino to pull Mané's hair follicles.

[@JamesPearceLFC]
 
Henderson and co quickly intervened, holding Firmino back. Firmino then proceeded to mockingly chant "Where's your hairline gone la". This left Mané furious.

[@JamesPearceLFC]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom