Bwana wee Keita ana ka upara fulani haha ka mwenye miaka 28+🙈🙈🙈🙈
Kwa waafrika bhana sitoshangaa kama kweli sio umri wake ule...
Akasake tonge kwingine pale Anfield pamemkataa...
YNWA
Yule jama ni bonge la mchezaji kumbe dah.The Boss. Umemuona Gini?
Kachafua vibaya kiungo cha Mourinho.
Hem muangalie mechi na Fulham hafu toa tena ushauliliverpool mpeni anachostahili gini wijnaldum na ikiwa khofu yenu ni umri ndio maana munasita kumpa kandarasi ya muda mrefu basi munapaswa mufahamu ya kwamba wanadamu wanatofautiana linapokuja suala la fitness level,
huyu jamaa kama ataendelea kuwa na pumzi hii alioionyesha jana uwanjani naamini anaweza kucheza soka la kiushindani mpaka atakapofikisha miaka 33 na bado akaendelea kuwa mchezaji mwenye umuhimu kama alivyo james milner.
huyu jamaa anaongoza kwa kutumiwa kinyume na utaratibu bila ya kulalamika, eneo analotumika liverpool ni tofauti na kule uholanzi na bado anakupa performance iliobora kwa asilimia 100.
gini ni shetani mwenye umbile la binadamu anayepatikana kila eneo la uwanja.
gini ni shetani aliyekoseshwa sifa na wafuasi wake
Namimi nimemshangaa kiukweli janachochote alichokuwa anaamua kukifanya basi alikitimiza kwa uhakika, kuna nyakati alikuwa anatembea na mipira juu kwa speed ya hatari mpaka nikawa namshangaa.
Uwe unatuombea ivyoivyoNyie ongozen League
Wanaume tunakuja kukwapua epl Kama kimbunga
umewahi kumwangalia vizuri mane? tafuta picha zake akiwa Salz uone alivyo........Bwana wee Keita ana ka upara fulani haha ka mwenye miaka 28+
Kwa waafrika bhana sitoshangaa kama kweli sio umri wake ule...
Akasake tonge kwingine pale Anfield pamemkataa...
YNWA
Ukiondoa salahHem muangalie mechi na Fulham hafu toa tena ushauli
Hata Bobby alianza hivhivi mwishowe akapoteza confidenceSadio Mane nahofia ataanza kukosa confidence..
Game ya ngapi hafungi now??
Hata Mo Salah hakuperform vizuri mechi ya FulhamUkiondoa salah
Nania aliyecheza vzr game ya fullham?
Liverpool sio Mama Ester United hao Leipzg watapigwa nyumbani na ugeniniIla wadau tuongee tu ukweli... Hivi hii ndoo ya epl tunaweza kuibeba... Vipi na klabu bingwa gemu yetu na liepzig
Tatizo huyu mjerumani hatabiriki atamuuza ukuteNi Curtis Julian Jones..
Amekua well guarded by Klopp mpaka pale alipoodoka Lallana ndio akawa unleashed...
Majeruhi pia yamempa hii nafasi kumuonyesha Klopp his maturity...
Ni wa nyumbani pia just like TAA.. Well done the Academy kwa kweli...
YNWA
Hata Bobby alianza hivhivi mwishowe akapoteza confidence
Mane anatakiwa kufunga goli ili ku trigger form yake.
Wijnaldum ni Intelligent Footballer.
Kuanzia Physically Dominant,
Anavyo Holding off position players,
Linked up anayoifanya the left hand side kwa Robertson and Mane sio haieleweki.
Wijnaldum hafananishwi na wachezaji ambao ni Third choice kwenye Squad.