Tukutane 17/1/21 Anfield ndio mseme hilo jambo....Poa tu, bora muongoze nyinyi vibonde,
kuliko akiongoza Morinho.
Huu msimu Manchester United tuna jambo letu.
Hahaha Allison kiduchu timing ya kupiga mipira anayorudishiwa nyuma...Mchezaji gani alizingua leo? Sijaona hata mmoja![]()
Itakua gemu ya 7 kama sikosei....Sadio Mane nahofia ataanza kukosa confidence..
Game ya ngapi hafungi now??
Aisee Mkuu Don Clericuzio una imani kali sana ndugu yangu yaanu bado kabisa una hope Keita atakuja kucheza mpira tukasema hureee amerudi haswaaa...Jota/Thiago au Jota/Keita (kama akiwa mzima), mechi inaisha first half.
Aisee Mkuu Don Clericuzio una imani kali sana ndugu yangu yaanu bado kabisa una hope Keita atakuja kucheza mpira tukasema hureee amerudi haswaaa...
Seeing is believing mpama hapo ata shake off hii trend ya injuries pengine atani convince otherwise ila kwa sasa naona awekwe sokoni tu huyu...
Na hiki kiwango na maturity za huyu kop kid Jones ndio inazidi kumuweka pambaya Keita maana Klopp will definitely go with whats bringing results and that is super talented Jones...
Next gem in waiting ni Leighton Clarkson huyu siku si nyingi nae ataanza kupata nafasi ki ukweli this kids adore TAA na sasa Jones inakua kama benchmark kwao tu step up playing at the highest level...
Meaning tutakua na MF Thiago, Shaqir, Hendo, Chambo, Clarkson, Jones, Gini, Fabinho, Keita, Milner.. Hapo sioni Keita akichomoka na namba...
YNWA
Talent wise yupo top top but then we need fit legs in the field following the gaffers game plan ndio maana unaona hata Keita akiwa fit the best he can make ni sub na sio starting place ...Huu ni msimu wa mwisho kwangu kusema Keita basi, na kinachosababisha niendelee kumweka hapo ni kwa sababu bado sioni talent kama Keita pale kwenye mids.
Aisee Mkuu Don Clericuzio una imani kali sana ndugu yangu yaanu bado kabisa una hope Keita atakuja kucheza mpira tukasema hureee amerudi haswaaa...
Seeing is believing mpama hapo ata shake off hii trend ya injuries pengine atani convince otherwise ila kwa sasa naona awekwe sokoni tu huyu...
Na hiki kiwango na maturity za huyu kop kid Jones ndio inazidi kumuweka pambaya Keita maana Klopp will definitely go with whats bringing results and that is super talented Jones...
Next gem in waiting ni Leighton Clarkson huyu siku si nyingi nae ataanza kupata nafasi ki ukweli this kids adore TAA na sasa Jones inakua kama benchmark kwao tu step up playing at the highest level...
Meaning tutakua na MF Thiago, Shaqir, Hendo, Chambo, Clarkson, Jones, Gini, Fabinho, Keita, Milner.. Hapo sioni Keita akichomoka na namba...
YNWA
Sadio Mane nahofia ataanza kukosa confidence..
Game ya ngapi hafungi now??
Najiulizaga sana hafu najipa tumaini kwenye mechi kosa kama zile hazikosekani kwa upande wetu tulikua tunampa tu yule golii wao mipira shuti la Mane tu ndo lilikua la nguvuKuna chances mbili, moja mwamba na ile open header ya Kane, tungepoteana pale.
Najiulizaga sana hafu najipa tumaini kwenye mechi kosa kama zile hazikosekani kwa upande wetu tulikua tunampa tu yule golii wao mipira shuti la Mane tu ndo lilikua la nguvu
Mbona unajishtukia?Ha ha haaa. You don't know me man. Mimi siyo shabiki maandazi.
Kausha mzee baba usiwambiee.....hatujaachana sana kwa points