Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Akawatwanga man u kwa hasira sana kuwaonyesha bado ana hasira nao

Halafu anamalizia na maneno ya shombo
Hahaha huyu Spurs kwanza pale Anfield hua hanaga bahati ya ushindi hivyo wanakuja wakijua muda wowote wanachapika aisee....

Jose kama Jose maneno hawezi kuacha mpaka kuwasemea hovyo wachezaji wake hio ni kawaida...

Klopp mpaka usikie ukimsema mchezaji kwenye media atakua kashagonga bavaria aisee...

All in all itakua full cracker...

YNWA
 
1-1 draw will be a nice result for me tbh..Come'on Jose'

Nakumbuka Manchester United hata anapokuwa katika hali mbaya kiasi gani anapokuja Chelsea na Man City basi Man United anawafunga kirahisi tu! Hii ina maana Kuwa 'Kila Timu ina Kibonde Wake'.

Kwahiyo Liverpool miaka zaidi ya 120 toka ianzishwe haijawahi Kuwa kibonde wa Spurs, bali Spurs ni Kibonde wa Liverpool.
 
Angalia baada ya mechi kichaa kisije kikashtuka tena
Eeeh mwenyez Mungu tazama hawa kuku, wanajinasibu kila siku kuwa anfield ni uwanja usiofungika.

Kwa uwezo wako na nguvu zako, naomba ukawaoneshe kuwa upo na unauwezo wa kuwapa nguvu Spurs kwenda kuvunja zile kuku za anfield

Katende miujiza, ili nawao wakujue kuwa wewe ni bwana wa mabwana

Naomba haya yote, katika jina la baba,mwana, na roho mtakatifu

Wote tuseme amina..!
 
Hawa kuku viumbe wa mwenyezi Mungu Leo utajua kama kuku nao ni viumbe au lah
 
Baada ya kushindwa kuwafunga wachovu west brom naona unamrudia Mungu hahaha
Eeeh mwenyez Mungu tazama hawa kuku, wanajinasibu kila siku kuwa anfield ni uwanja usiofungika.

Kwa uwezo wako na nguvu zako, naomba ukawaoneshe kuwa upo na unauwezo wa kuwapa nguvu Spurs kwenda kuvunja zile kuku za anfield

Katende miujiza, ili nawao wakujue kuwa wewe ni bwana wa mabwana

Naomba haya yote, katika jina la baba,mwana, na roho mtakatifu

Wote tuseme amina..!
 
Duuh hii wiki hiii ..na hizo pancha tuombe Mungu
Screenshot_20201216-123619_1.jpg
Screenshot_20201216-123716_1.jpg
 
Eeeh mwenyez Mungu tazama hawa kuku, wanajinasibu kila siku kuwa anfield ni uwanja usiofungika.

Kwa uwezo wako na nguvu zako, naomba ukawaoneshe kuwa upo na unauwezo wa kuwapa nguvu Spurs kwenda kuvunja zile kuku za anfield

Katende miujiza, ili nawao wakujue kuwa wewe ni bwana wa mabwana

Naomba haya yote, katika jina la baba,mwana, na roho mtakatifu

Wote tuseme amina..!

Mungu haingilii Ugomvi wa Shetani
 
Mungu haingilii Ugomvi wa Shetani
Hayo maombi hapo juu, yana nguvu sawasawa na yale yaliyowatoa jasho dhid ya fulham

Mkaishia Point moja tena ya kupewa penalty na var

Heshimu nguvu ya maombi, ukiona mtu anamshirikisha Mungu, maana yake ameacha nguvu za kiroho zipambane

Nguvu ya kiroho ndio ilifanya mpigwe 7 na aston Villa, ndio maaana hata wao Aston Villa ukiwauliza walifunga vip zile gori saba kuanzia, bench la ufundi ,kocha hadi wachezaji hawajui

This is Holly sprit Power
 
Nilikuwa nafanya research ndogo kuhusu Front 3 yetu nimegundua bado ni Tishio sana lakini inaangushwa kwa kufanya kazi zisizokuwa zao.

Timu ya mpira ina sehemu kuu 3
1 - Ulinzi (Kipa na Mabeki)
2 - Viungo
3 - Washambuliaji

Uhalisia wa Timu yetu
1) Tupo na Ulinzi
2) Tupo na ushambuliaji
3) Hatuna Viungo
Hivyo mpira unakuwa na part mbili ie. ni kati ya Ulinzi na Ushambuliaji bila ya kupata msaada wowote kutoka kwa Viungo.

Washambuliaji kufanya kazi zisizokuwa za kwao:
Baada ya kuwa Timu yetu imekuwa na Viungo wasiokuwa na uwezo wowote ule wa kuwasaida washambuliaji, Front 3 yetu imekuwa na kazi ya kushuka chini kwenye Boksi letu kutafuta mipira wao wenyewe na kuikimbiza juu ili watengeneze nafasi za kufunga, hii imetokana na kutopata msaada wowote kutoka kwa Viungo wetu.
Unaweza kuta ndani ya Dakika 90 Mane, Salah na Firmino hawajapokea pasi yeyote ya nafasi ya kufunga kutoka kwa Gini au Hendo.
Hii inawapa kazi kubwa sana Front 3 wetu na kuwafanya wachoke waonekane hawana uwezo kwasababu tu wamekosa Mtu wa kuwasaidia.

Imagine Front 3 hii yetu nyuma yao kungekuwa na Mtu kama KDB, Bruno au Pogba! Hivi unahisi kuna game ingeishia bila ya wawili kati yao kufunga goli? Yani wasingesumbuka kutafuta mipira chini na kujipasia wenyewe ili wafunge.

Kwakweli tunahitaji Mido wa kuwasaidia Washambuliaji wetu kwa kuwatengenezea nafasi za kufunga.
Mkuu mbona kama tulisha lijadili hili kipindi cha Gini Malner na Hendo?
Mpaka wenga anamsifia Boby sababu niyo namba tisa inayo cheza uwanja wote.
Mane akitegea kurudi nyuma mbele mipira haifiki mfano na Fulham kipindi cha kwanza jamaa alikua alisusa jukumu la msaada
 
Harvey Elliot stat at Blackburn Rovers he has playee 14 games so far in this season.

In terms of goal involvement, Elliott's three goals and four assists put him second in the list of the most creative teenagers in the Championship and, with just one current top six team to play until the visit of Swansea on January 19, he'll be hoping to add to his return over the festive period and into 2021.

One for the future guys.... All the best to the young Red amalize mkopo wake akiwa mchezaji bora na awe tayari kurejea Anfield kwa msimu wa 2021 2022...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom