AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,140
Ile. Ile. Mido. Iliyozingua vs Fulham ndo kaianzisha. Ana mpango wa kumpa Jose ushindi nn
Msihofu, leo hatupaki basi.Leo tunaenda kushuhudia jinsi garimoshi linavopakiwa sehemu. Maureen noma sana!
Game ya leo naona kikosi cha kwanza ndo kitaamua kama ni ushindi au kufungwa maana sub sijaona wa kubadilisha mchezo kama tukizidiwa.Ile. Ile. Mido. Iliyozingua vs Fulham ndo kaianzisha. Ana mpango wa kumpa Jose ushindi nn
Maureen kapaki train nyambaf!Leo tunaenda kushuhudia jinsi garimoshi linavopakiwa sehemu. Maureen noma sana!
Yeah....naona mmepaki train insteadMsihofu, leo hatupaki basi.
Umeona jibaba? Nakunywa safari kwa hasiraLile goli la Spurs refa na VAR wamezawadia
Ingekuwa upande wa Liverpool ingekuwa offsideLile goli la Spurs refa na VAR wamezawadia
Ingekuwa upande wa Liverpool ingekuwa offside