Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,023
Hapo maji ni ngumu kumeza maana naamini Kiduku/Diego Simeon ni mzoefu sana wa hiyo michuano ya UEFA Vs Lampard ambaye ndiye itakuwa ni mechi yake ya kwanza kama sikosei kwa hiyo 16 stage.Sahihi mzee, sasa mmepangiwa bingwa wetu wa mwaka jana, mtulipie kisasi.
Ninachoomba kwanza kabisa Wachezaji wetu wasiwe na majeruhi.
Nyota njema ya matokeo ing'ae kwa Chelsea.
Lampard aje na mbinu za kutaka matokeo tu wala si ball possession pekee.
Naamini tutapita hapo na itatujengea kujiamini zaidi ktk hatua za nusu fainali n.k
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app









300m...