Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nawaza Nawaza Defence ya kumzuia SON & KANE kwa sasa hatuna ni kuomba tu ALLISON atubebe na sio vinginevyo, Wakati huohuo Front 3 yetu kwa sasa imeisha uwezo wao wa kuibeba timu umepungua.

Brther mpira hautafsiriwi Literally kama hivyo! Hata hao Spurs nao wanaweza hawana Defence ya kumzuia Mane na Salah.

Hatuna Timu mbovu ya kiasi hicho, hao Kane na Son ni wa kawaida tu.
 
Uzembe wetu Tu
Leo ilikuwa Chelsea anajiondoa kwenye race
Anabaki gombea top four
Na kesho ingekuwa tunamtoa spurs..

Tume boronga Sana na Fulham..
Na makosa yalianzia na kuweka kikosi
Champions league..mechi ya mwisho..
Wakati mwingine Klopp sijui hua anaamka na mabavaria kichwani...

Ile mechi ya UCL ilikua kama ceremonial kumaliza mzunguko wa kwanza kwa vile tulishapata uhakika wa top spot haikua na logic kuweka wachezaji wetu tegemezi uwanjani....

Kinachofurahisha hizi ratiba sio kwamba zinatolewa daily basis zinakuwepo long time...

Ile mechi ya Brighton alilalamika ilichezwa mchana badala ya usiku ndio maana ikawa vile haha sasa hii ya Fulham ilichezwa usiku tena Jumapili na matokeo yale yale....

Ipo tatizo la priority kwetu... Binafsi naona tungekomaa na EPL hio UCL iwe kama plan B kwa kikosi tulichonacho na kupunguza risk kwa hawa top performers...

Sasa January 2021 hioo sitoshangaa wasinunue aafu inafika February 2021 unasikia Matip nje miezi 2 yaaani...

I curse the injury trend we are experiencing now...

YNWA
 
Matokeo ya Man City jana yanapaswa Kuwa fundisho kwa baadhi ya Washabiki wenzangu! Msimu huu unajambo kwa Timu kubwa zote.

Njia pekee ni kuservive at the top of the table angalau mpaka February hapo naamini hatotokea tena mwengine wa kutuondosha kileleni.
 
Nawaza Nawaza Defence ya kumzuia SON & KANE kwa sasa hatuna ni kuomba tu ALLISON atubebe na sio vinginevyo, Wakati huohuo Front 3 yetu kwa sasa imeisha uwezo wao wa kuibeba timu umepungua.
Hahaha on paper upo sahihi ila sasa utekelazaji uwanjani inakua tofauti ndio maana unaona Barcelona wapo nafasi sijui ya 7 hukooo na Messi wao....

Kane na Son wapo on fire mno na hii inatokana na Kane ku upgrade na kucheza kama namba 10 msimu huu amekua mtengenezaji zaidi huku pia akitupia, hii aspects zamani hakua nayo..

Tutakua salama endapo highline yetu itakua at least 25m mpaka 20m kutoka golini kwetu hapo tutawadhiti vyema...

So bad MF itakua bado ni Gini Hendo Jones unless wawe direct, accurate and ruthless wata suffer sana maana hao ndio weakness yetu so far....

Uzuri ni kwamba defence yao inapitika tu endapo we take the game to them...

Bring the white boys we are ready....

YNWA
 
Matokeo ya Man City jana yanapaswa Kuwa fundisho kwa baadhi ya Washabiki wenzangu! Msimu huu unajambo kwa Timu kubwa zote.

Njia pekee ni kuservive at the top of the table angalau mpaka February hapo naamini hatotokea tena mwengine wa kutuondosha kileleni.
Pep ule upara walahi msimu huu hautaota nywele tena hahaha....

Yale matokeo ya mfukoni wala hayapo tena this time...

YNWA
 
Matokeo ya Man City jana yanapaswa Kuwa fundisho kwa baadhi ya Washabiki wenzangu! Msimu huu unajambo kwa Timu kubwa zote.

Njia pekee ni kuservive at the top of the table angalau mpaka February hapo naamini hatotokea tena mwengine wa kutuondosha kileleni.

Ni shida mzee, ukiangalia msimamo ulivyokaa unaona team kibao zimejazana kwenye 20 to 25 points.

Halafu ni ligi zote kubwa ulaya, imagine mpaka Bayern na Juve wanajambishwa huko kwao, PSG, Barca na Madrid nao wanakimbizwa kimbizwa.

Mpaka UEFA kuanza tena tutakuwa walau tuko level, maana hizi timu zingine zilikuwa na mapumziko hivyo zinawakazia wakubwa, sasa tunauanza msimu ambao sote tutakuwa kazini muda sawa. Labda hiyo itatutofautisha.
 
Epl tumechezea kwa Villa tu hivyo ni kutafuta mfumo wa kusaka ushindi ugenini hilo tu tutakua mbele mno..

Ligi zote ni kama zipo kiwango sawa ina maana hata UCL timu zitasuasua hivyo atakaekaa sawa ndio mshindi kwa kweli..

Klopp come up drop the usual 4 3 3 on the road opposition teams has mastered how to tame our usual creators in LB and RB...

YNWA
 
Hahahah ndo maana nikasema mgeni gani huyu maelezo mengi hivi?

Sema bro mourinho anakuja kwa kasi sana
Wale waliosema ameisha sijui watasemaje?

Jota naskia kaumia kaka?
Hahaha bwana wee ndio King huyo ndugu...

Mourinho ni top coach na alisuka upya wasaidizi wake wote baada ya kufeli Manchester United akaona apate ma assistant damu changa na wenye ideas mpya achanganye na zake na kweli imemlipa aisee kama unavyoona walipo kwenye msimamo...

Jota nje wiki 6 maximum ndugu na ni pigo maana hawa waliobaki bhana ni kama bado wapo dry spell hivyo tunaomba pengine leo waanze kutuletea ushindi...

Akawatwanga man u kwa hasira sana kuwaonyesha bado ana hasira nao

Halafu anamalizia na maneno ya shombo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom