The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Wachezaji lazima wasisahau hayaAkaenda kupewa mvinyo na Sir. Alex Fergusson
Mourinho ni kama adui yetu
Tukimpa nafasi ya kuchafua rekodi ya anfield Leo baada ya the slip atajiona mwamba sana
Wachezaji lazima wasisahau hayaAkaenda kupewa mvinyo na Sir. Alex Fergusson
Nampata vyema ebu tazama release clause yake ndugu....Yuko Atletico Madrid
Mkuu mechi saa tano utakua ushakula 😂😂😂😂😂😂😂...Tukifungwa na spurs kesho ubingwa basi tena
The way I hate Mourinho...ntashindwa kula tukifungwa
The slip hadi leo nikiona clip nakosa raha
Tukifungwa na spurs kesho ubingwa basi tena
The way I hate Mourinho...ntashindwa kula tukifungwa
The slip hadi leo nikiona clip nakosa raha
JoseeeMourinho anasema tunalia lia sana kuhusu injuries.
"I can give you a list of 10 injuries at Tottenham. We have two kids of the Under-16s with injuries, we have two others in the Under-21s and two in the Under-23s, we have Lamela and Tanganga. And here is a list of 10 players."

Hahaha kashaanza mind game Jose katika ubora wake...Mourinho anasema tunalia lia sana kuhusu injuries.
"I can give you a list of 10 injuries at Tottenham. We have two kids of the Under-16s with injuries, we have two others in the Under-21s and two in the Under-23s, we have Lamela and Tanganga. And here is a list of 10 players."
Hahaha kashaanza mind game Jose katika ubora wake...
YNWA
Haha anadai significance injury kwetu ni VVD hao wengine ni part time players..Eti anasema na yeye ana injuries 10, under 16, 21 na 23!
Eti anasema na yeye ana injuries 10, under 16, 21 na 23!
Huwa sina HOFU yoyote ile tukiwa tunacheza ANFIELD,Lakini kwa mechi ya kesho naona kabisa Hatutoki kirahisi...........Nimeshajiandaa kisaikolojia.Uzembe wetu Tu
Leo ilikuwa Chelsea anajiondoa kwenye race
Anabaki gombea top four
Na kesho ingekuwa tunamtoa spurs..
Tume boronga Sana na Fulham..
Na makosa yalianzia na kuweka kikosi
Champions league..mechi ya mwisho..
Uzembe wetu Tu
Leo ilikuwa Chelsea anajiondoa kwenye race
Anabaki gombea top four
Na kesho ingekuwa tunamtoa spurs..
Tume boronga Sana na Fulham..
Na makosa yalianzia na kuweka kikosi
Champions league..mechi ya mwisho..
Huwa sina HOFU yoyote ile tukiwa tunacheza ANFIELD,Lakini kwa mechi ya kesho naona kabisa Hatutoki kirahisi...........Nimeshajiandaa kisaikolojia.

Nawaza Nawaza Defence ya kumzuia SON & KANE kwa sasa hatuna ni kuomba tu ALLISON atubebe na sio vinginevyo, Wakati huohuo Front 3 yetu kwa sasa imeisha uwezo wao wa kuibeba timu umepungua.Mourinho hata akipata draw kwake ni ushindi
Shida iko katikati..Nawaza Nawaza Defence ya kumzuia SON & KANE kwa sasa hatuna ni kuomba tu ALLISON atubebe na sio vinginevyo, Wakati huohuo Front 3 yetu kwa sasa imeisha uwezo wao wa kuibeba timu umepungua.
Mourinho anasema tunalia lia sana kuhusu injuries.
"I can give you a list of 10 injuries at Tottenham. We have two kids of the Under-16s with injuries, we have two others in the Under-21s and two in the Under-23s, we have Lamela and Tanganga. And here is a list of 10 players."
Hahahaha liva bhana hahaha team za saizi yangu ndo zinakupga saba clear no red no VAR no penalt mbya zaid team iliytak kushka daraj......... huu msimu namalza nikiwa juu yako tunza comment hii.Malizana na timu za saizi yako mkuu, mimi kwa misimu hii siyo saizi yako.
Hahahaha liva bhana hahaha team za saizi yangu ndo zinakupga saba clear no red no VAR no penalt mbya zaid team iliytak kushka daraj......... huu msimu namalza nikiwa juu yako tunza comment hii.
Hawa Spurs watafungwa tu, nasema hivi watapigwa, ni suala la muda tu watapigwa na utashangaaNawaza Nawaza Defence ya kumzuia SON & KANE kwa sasa hatuna ni kuomba tu ALLISON atubebe na sio vinginevyo, Wakati huohuo Front 3 yetu kwa sasa imeisha uwezo wao wa kuibeba timu umepungua.