Daah! Imeniuma sanaGerald Houllier just passed away. Our most felt condolences to the family of former Liverpool boss
Daah! Imeniuma sanaGerald Houllier just passed away. Our most felt condolences to the family of former Liverpool boss
Nje ndani wapi wewe? Kwao tulikaa na kwetu alikaa, ikabidi ziongezwe dakika ndio akashinda, ila ndani ya dk 90 kulikuwa hakuna mbabe, halafu huyo semeone huko ucl maisha yake yote msindikizaji tuMkuu acheni kujificha epl, mlivompiga Barcelona uefa mlisema" this is anfield " hatoki mtu akija
Simeon kawanyoosha nje ndani, comeback ya kibabe hapo hapo chumban kwenu, mkabadili gia hewa, kuwa "kwa epl hatujawahi kufungwa
Tulizen mshono,
Anfield is overrated pitch, hakuna jipya
Timu za epl zikiona ulichoangika hapa zitakushangaaMkuu acheni kujificha epl, mlivompiga Barcelona uefa mlisema" this is anfield " hatoki mtu akija
Simeon kawanyoosha nje ndani, comeback ya kibabe hapo hapo chumban kwenu, mkabadili gia hewa, kuwa "kwa epl hatujawahi kufungwa
Tulizen mshono,
Anfield is overrated pitch, hakuna jipya
Mkuu acheni kujificha epl, mlivompiga Barcelona uefa mlisema" this is anfield " hatoki mtu akija
Simeon kawanyoosha nje ndani, comeback ya kibabe hapo hapo chumban kwenu, mkabadili gia hewa, kuwa "kwa epl hatujawahi kufungwa
Tulizen mshono,
Anfield is overrated pitch, hakuna jipya
Naona Man u kapewa league leaders wa Spain...
Kazi wanayo
Siwaoni ItaliansLeague Leaders wa Big 5 wote wako Europa:
- Bayer Leverkusen
- Lille
- Real Sociedad
- Tottenham
- AC Milan
Siwaoni Italians
Haha we are turning to be wazee wa kubahatisha...Wazee wa Selhurst park and the now tittle contender Jose Mourinho we shall see what we get but I am not sure if we have guaranteed all wins this week
League Leaders wa Big 5 wote wako Europa:
- Bayer Leverkusen
- Lille
- Real Sociedad
- Tottenham
- AC Milan
Unamfahamu Carlo Ancelotti???Wakati huo umefungwa na everton
Haha we are turning to be wazee wa kubahatisha...
Subiri uone hio J5 namna ambavyo Hendo na Gini watachangamka na Spurs atapigika tu....
Imekua we win One lose one draw 3 haha...
We are lacking identity wakati mbaya sana kwetu...
YNWA
Toka akiwa anacheza mpiraUnamfahamu Carlo Ancelotti???
Ni mara 5, nilijichanganya Chifu, hapo pia sipo sahihi?Ukiweza kutaja miaka mliyochokuwa ikazidi 6 nahamia kushabikia Chelsea au najipiga ban mwaka mzima.
Toka Chelsea imeumbwa, kama mmechukua Ligi kuu zaidi ya mara 6, niwekee miaka hapa.
Ni mara 5, nilijichanganya Chifu, hapo pia sipo sahihi?
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app