Tumepewa Leipzig
kwa mwendo wenu wa sasa hii mechi kila mtu ashinde goli nyingi uwanjani kwakeNoma sana, hii itakuwa battle ya tactics.
liverpool tupigieni mume wetu
- Manchester city vs Gladbach
- Bayern vs Lazio
- Chelsea vs Atletico
- Liverpool vs Leipzig
- Juventus vs FC Porto
- Paris st Germain vs Barcelona
- Dortmund vs Sevilla
- Real Madrid vs Atalanta
wafu kwa wafu wamekutanishwaBarca Vs psg
kwa mwendo wenu wa sasa hii mechi kila mtu ashinde goli nyingi uwanjani kwake
kwa jicho la kawaida unaweza ukazipa alama ya kufuzu timu kubwa zote, ngoja tuone vugu vugu la february litakuwajeHawa jamaa kama vile wamepanga aisee, karibu timu zote zimepangwa zenye uzito sawa.
bingo, hii mechi akiwepo thiago naamini mutaimaliza ujerumani.Mechi itakuwa ngumu hii, uzuri ni Feb huko, unaweza kuta kina Thiago wameshapona.
bingo, hii mechi akiwepo thiago naamini mutaimaliza ujerumani.
unajua bayern wanateseka sana kimfumo tokea wamuondoe thiago na kushindwa kuleta midfield mfano wake.
Naona kama Chelsea ndo wanaishia hapo ..Thiago anasaidia sana kukaba na kupeleka mipira mbele, sema sasa hizi majeruhi ndo shida.