Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie muda wenu wa kutoka ni lini


Lepzg anaweza wasimamisha.

Tubakishe akiba za maneno

Adjustments.jpg


Mkuu sisi mpaka fainali Maana tunapewa nafasi ya kulichukuA hilo kombe.
 
Man una imani na Keita to come and offer something to our course...

Nimemjaribu kumfuatilia namuona kama mzito fulani sijui ni macho yangu tu lakini naona aidha ha fit kwenye system ama hana tena imani na mwili wake mwenyewe sababu ya hizi recurring injuries....

Ukimtazma katika gemu 5 utaona gemu moja anakupa jambo zingine zote anachemka mbaya...

To be frank huyu ingekua tunapiga kura yangu ingekua aodoke tu akatafute maisha kwingine...

Henderson na Gini lol wanakua na gemu moja nzuriiiiii aafu gemu 3 hovyoo in short hatuna consistency pale MF especially away form na hili ni tatizo maana when our MFs get lost tunakosa dimension ya LB na RB kupeleka mashambulizi ndio kama jana Scott alijua vyema black our pembeni channels and we become toothless and aibu Klopp alichelewa kuliona lile...

Kloop kashajua ana MF kimeo wenye almost nill consistency na ndio maana ameamua kumbadili Takumi position na sasa amekua MF ili mradi kuleta uhai pale kati and all the best Takumi....

Ni ngumu kutegmea kushinda EPL kwa kutegemea kushinda mechi za nyumbani tu huku on the road tunaumia...

Jones woow whats a talent in making huyu dogo ni jembe haswa at his age and his vision and ball ideas ni world class in the making hapa tumeokoa almost £40m kuingia sokoni kupata this kind of talent...

Now going forward shinda kuu ni how do we keep Thiago, Shaqir, Chamberlain fit ambao wote wana those killer cutting passes kwenye final 3rd...ni aibu when our usual creators LB na RB wanabanwa tunakua butu kiasi hiki yaaani haikumbaliki...

Next 2 games ni noma kwanza tupo nyumbani na Spurs Jumatano aafu Jumamosi tupo na Crystal Palace ugenini itakua na moja ya viwanja nisivyovipenda ni pale Eagles...

Muda ni mchache all the best kwa vijana..

YNWA
Wazee wa Selhurst park and the now tittle contender Jose Mourinho we shall see what we get but I am not sure if we have guaranteed all wins this week
 
Everton huyu huyu ambaye Mara ya mwisho kutufunga kwenye EPL ilikuwa msimu wa 2010/2011 ndo atunyime usingizi
Usijisahaulishe kuwa huyo huyo Everton ndiye anayekunyimaga usingizi kuliko tim zote pale EPL na bado yajayo yanafurahisha kwa mechi ya marudiano, ni heri ukitunza akiba ya maneno Chifu.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Muulize Gaurdiola tangu aje EPL katika gemu 4 alizokuja Anfield kapata jumla ya point 1 tuu
Haya majamaa yanajificha kwenye kivuli cha epl, hapo anfield mbona huwa mnachapika tu .

mbona atlanta katoka na Point tatu hapo

Atletico madrid kawatoa uefa hapo anfield


Sijaona Point ya anfield mimi
 
Muulize Gaurdiola tangu aje EPL katika gemu 4 alizokuja Anfield kapata jumla ya point 1 tuu
Mkuu acheni kujificha epl, mlivompiga Barcelona uefa mlisema" this is anfield " hatoki mtu akija


Simeon kawanyoosha nje ndani, comeback ya kibabe hapo hapo chumban kwenu, mkabadili gia hewa, kuwa "kwa epl hatujawahi kufungwa


Tulizen mshono,

Anfield is overrated pitch, hakuna jipya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom