Kipenzi chako Gini anampita hadi Henderson kwa square passesMuda wa kutafuta statistics za Liability player kama Keita sina.
Keita is more than a liability kwa Club.......He is a big Liability .
That's not a Footballer.
19 yrs old local lad CURTIS JONES was far better than £48 ml Keita.
Kwa hiyo anatakiwa ashangilie kwa kupata 0 point au?




sio nilichomaanisha hichoDonKwamba hujui kama EPL ni mashindano tofauti na UEFA?
Najua unajua ila umetafuta kichaka cha kujifichia.
Nitajie timu unayoshabikia nikupe matokeo yake Anfield kwa miaka hii minne.
To be clear: Mara ya mwisho Liverpool kufungwa Anfield kwenye Ligi ilikuwa tar 27 April 2017, ni zaidi ya miaka mitatu na nusu. A record your team can dream of.
Na pia usiwe na muda wa kumnanga mchezaji wa high Caliber ila ana tatizo la majeruhi kama KeitaMuda wa kutafuta statistics za Liability player kama Keita sina.
Keita is more than a liability kwa Club.......He is a big Liability .
That's not a Footballer.
19 yrs old local lad CURTIS JONES was far better than £48 ml Keita.
Yes, you are right. You should be worried about that team with a real cock on their logo. They are very dangerous in terms of obtaining results from top teams.Spurs & then Crystal palace..
I'm slightly worried about Spurs, because wapo kwenye top form, but i think it will be a narrow win or a draw, itakuwa at Anfield, so ni big advantage.
But, Crystal Palace will be TOUGH.
Kwanini nisimnange??? Kwanini???Na pia usiwe na muda wa kumnanga mchezaji wa high Caliber ila ana tatizo la majeruhi kama Keita
Hahaha me bingwa wako wako wa kihistoriaKwamba hujui kama EPL ni mashindano tofauti na UEFA?
Najua unajua ila umetafuta kichaka cha kujifichia.
Nitajie timu unayoshabikia nikupe matokeo yake Anfield kwa miaka hii minne.
To be clear: Mara ya mwisho Liverpool kufungwa Anfield kwenye Ligi ilikuwa tar 27 April 2017, ni zaidi ya miaka mitatu na nusu. A record your team can dream of.
Man una imani na Keita to come and offer something to our course...I'm not trying to blame anyone for this painful draw, but lets face it, the two Klopp's system midfielders (Hendo + Gini), wametu-let down sana this season, especially kwenye away games, its just surreal kuona a 19 year-old MF anakuwa mchezaji wetu bora kwenye midfield-3 katika game tight zote tulizokuwa nazo this season.
Hawa system MFs wanashindwa kabisa ku-function system ikiwa haifanyi kazi, Fulham managed to shut down our 2 fullbacks, and pressed hard kutokea katikati kwenye 1st half, midfield ikawa inakosa kabisa room za ku-supply mipira kwenye wide areas, they cant drive the ball foward, they cant hold on mipira even for 2 seconds, Hendo akipata mipira kwenye tight angles anakimbilia tu ku-hoof forward bila hata kujaribu ku-hold possession and let the team ku-organize line patterns za ku-influence out attacking procedures, Gini anaishia kupiga short passes (most of them are side ways & back passes) ambazo hazisaidii kabisa ku-retain progressive possession from MF area, mtoto mdogo kama Jones ndiyo anaishia kuwa our driving MF, this is embarrassing, we are missing Fabinho a LOT kwenye MF, but hatuna jinsi now, anatakiwa aendelee kuongoza back-line yetu.
Klopp bought Thiago, kwaajili ya ku-nulify hawa system MFs tulionao, he wanted something new kwenye MF, but Thiago injury problems zimelazimisha turudi kule kule, midfield yetu imekuwa mbovu sana msimu huu, bila umahiri wa Fab, alisson, Matip and the kids (young CBs) pamoja na our front 3,especially Salah & Jota, tungekuwa sehem mbaya sana kwenye league, 1st half yote leo tumecheza bila MF, midfield gani ambayo Trent & Robertson wakinyimwa nafasi ya kutawala mpira inakuwa hovyo? we need to change this, Klopp anatakiwa kubadilisha hii, thanks to Jones anajitahidi sana ku-drive the MF, but he's still a kid, hatuwezi kumtegemea sana kwa hili, tutaumia sana huko mbeleni.
Now, we just need to pray kuendelea kuwa kwenye top 3, mpaka january, then tununue a serious CB, and pray to God Thiago atakuwa fit, because kurudi kwake ndiyo kutatufanya tushinde hii LEAGUE, i dont expect Fabinho kurudi tena kwenye DM role this season kwasababu ya fitness issues za Matip, hata tukinunua CB he will be partnered na Fabinho, so he needs to stay there, and we need to hope, Thiago, Ox, Shaqiri and Keita wawe fit kiasi (worrying about Keita man), ili waweze ku-impact our 2nd round kwenye league.
And, Klopp needs to work on away form, its not good at all this season.
Mimi siyo linguistic, na ni dalili za mwisho kuishiwa hoja hadi umehamisha akili yako kuleta personal attacks, pole sana Chifu, hii ndiyo dunia.Ungeandika kiswahili mkuu.
Mimi siyo linguistic, na ni dalili za mwisho kuishiwa hoja hadi umehamisha akili yako kuleta personal attacks, pole sana Chifu, hii ndiyo dunia.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Ulikuwa wapi hizyo miaka 30 yote ambayo ulikuwa huna ubingwa wa EPL ilihali tangu Mourinho atue Chelsea 2003 hadi sasa tumeshabeba EPL zaidi ya mara 6? Tunza akiba ya maneno NARUDIA TENA "tunza akiba ya maneno"
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Nimesema ungeandika kiswahili ningeelewa ulichoandika ili nikujibu, maana tulikuwa tunajadili kwa kiswahili, then nikaona umenibadilikia kwa kutumia kiingereza tena kigumu sana.


Hahaha me bingwa wako wako wa kihistoria
Mkuu unatka kunmbia ukicheza mechi za epl ukiwa home unakaza kuliko UEFA ukiwa home???
Me nadhan hata EPL home unachapika ila muda wako bado unakarbia tena Safari hii nitakuchapa hapo hapo uwanja wko wa 40k.
. Kwanza changanua HARIMAGWAYA Ni mwisho MBritish na Reffar Ni MBritish Wabritish huwa wanabebana tofauti na hapo kipaji chako kikusaidie mwenyeweTuanze kwanza penati tuliyonyimwa Chelsea pale OT Magure akimkaba Azpilicueta, itoshe tu kusema wakati mwingine waamuzi huwa na mahaba yao au wanabeti full stop.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app