Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,023
Mashaniki wenye mahaba walikuwa wanashangilia tu jana Vidume Chelsea alipofungwa 1-0 kumbe na wenyewe ni sawa na watoto tu hawawezi kulala na hela hahaaaa...Nilipoona Chelsea kapigwa, nikahis kale ka ugonjwa ka wiki ya wakubwa kuzingua kamefika. Man U na City droo nikawa na 50%. Droo ya Spurs ikanipa 80% ya ama liver kupigwa au droo.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app


