Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tukijitahidi kuwa na consistency with this intensity mechi 4 tu watu wataanza kutuogopa, trust me. Who's next?
Next Epl ni damn solid Brighton wako powa sana jamaa..

Itakua full cracker...

With Robertson and Jota in that form sioni wa kutuzuia sasa...

The make of a Champions is finding winning ways when the odds are against us and we have done that in style man..

YNWA
 
JOTA!!!!!! whoever Scouted this boy needs atleast a 50% rise of his salary
Hahaha wamemfuatilia kwa miaka miwili aiseee...

Klopp alitaka kwenda na Sarr jopo lake wakamwambia twende na Jota lol hawakakubahatisha...

Uzuri moja wa Klopp ni team player hua anakumbali ushauri wa wasaidizi wake na idara ya scout...

Pep lijnder alikua kocha msaidizi Porto hivyo mtadao wake Ureno ni mpana nayo ilisaidia kumnasa Jota...

YNWA
 
Next Epl ni damn solid Brighton wako powa sana jamaa..

Itakua full cracker...

With Robertson and Jota in that form sioni wa kutuzuia sasa...

The make of a Champions is finding winning ways when the odds are against us and we have done that in style man..

YNWA
Halafu mechi ya mapema kabisa, tunahitaji watu wa kuifungua defence yao. Wanaonekana ni watu wa kapaki bus Sana.
 
Mm nilishangaa pesa yote ile wametoa bila kujiuliza mara mbili kumbe wanaujua moto wake
 
Next Epl ni damn solid Brighton wako powa sana jamaa..

Itakua full cracker...

With Robertson and Jota in that form sioni wa kutuzuia sasa...

The make of a Champions is finding winning ways when the odds are against us and we have done that in style man..

YNWA
Tutapiga hizi mbwa znazokuja mpaka zitoe pop sound
 
Hahaha wamemfuatilia kwa miaka miwili aiseee...

Klopp alitaka kwenda na Sarr jopo lake wakamwambia twende na Jota lol hawakakubahatisha...

Uzuri moja wa Klopp ni team player hua anakumbali ushauri wa wasaidizi wake na idara ya scout...

Pep lijnder alikua kocha msaidizi Porto hivyo mtadao wake Ureno ni mpana nayo ilisaidia kumnasa Jota...

YNWA
Wamemfatilia kwa miaka minne
 
Next Epl ni damn solid Brighton wako powa sana jamaa..

Itakua full cracker...

With Robertson and Jota in that form sioni wa kutuzuia sasa...

The make of a Champions is finding winning ways when the odds are against us and we have done that in style man..

YNWA
Habari nzuri ni kuwa yule dogo Lamptey alikula umeme juzi so hatakuwepo.A very hard working talent used as right wing back.I like the kid's spirit...
 
Bwana wee yule dogo aisee ni machini balaa tetesi ni kwamba Juve, Bayern, AT na Barcelona wanamtazama kwa karibu sana...

Kocha wao ana balaa wanacheza kama timu na wapo vizuri mno kila idara kasoro umaliziaji ndio bado... Juzi hawa AstonVilla gonga gonga hakuamini kama atakaa kwa hawa jamaa aisee EPL hua haina matokeo mfukoni muda wowote utashangaa timu fulani inakaa kwa timu usiyotarajia kabisaaa...

Kwa namna tulivyokua na uvumilivu jana na wachezaji hawakua na haraka walifuata maelezo ya Kocha to the letter naamini Brighton nao watakaa aisee...

YNWA
 
Halafu mechi ya mapema kabisa, tunahitaji watu wa kuifungua defence yao. Wanaonekana ni watu wa kapaki bus Sana.
Kwa hii Liverpool labda wapaki treni kama Burnley hahaha ila kama basi hawa watajuta..

Moja ya nguzo kuu ya Liverpool ni kua na uvumilivu wa hali ya juu yaani mpira utapelekwa kushoto mara kulia mara kwa kipa mpaka pale wataona kuna mpenyo fulani ndio wanashambulia hivyo sina shaka na vijana namna ya kuwafungua hata wakipaki basi...

Ila ki ukweli Robertson ni jembe sana ana mapafu ya chui si bure dogo utamuona anakimbia kupokea pasi kwa Mane kama vile yeye ni winga aafu muda huo huo utamuona mbio kusaidia defence lol hakika huyu tuliokota kwa £8m jamani wakati wenzetu wanatoa £35m plus tena kwa mapancha Mendy na Shaw..

Ngoja kwanza tuzidi kujiweka kileleni UCL dhidi ya Atalanta aafu ndio mipango ya Brighton inaanza hapo hapo

YNWA
 
Dogo namwelewa sana huyu kiukweli siku wanatangaza anatua nilifurahi sana aisee...

Klopp kashajua namna ya ku survive EPL ni kusajili pia wenye uzoefu na EPL...

Kwa mfano Gini, Mane, VVD, Robertson na sasa Jota na wote hajamwangusha wanapambana sana tu...

YNWA

Ukitaka uharibikiwe ndani ya EPL basi sajili wachezaji wanaotoka BundesLiga, League 1 na Serie A.
Yani wachezaji wanaotoka hizo Ligi ni wachache sana ndiyo utafanikiwa.

Wachezaji wa kuaminika ni wa kutoka hapahapa EPL na LaLiga.
Pia kutoka Netherlands Eredivisie wapo vizuri.
 
Bobby mbona alitoka Bundesliga na kakinukisha sana tu
 
Ukitaka uharibikiwe ndani ya EPL basi sajili wachezaji wanaotoka BundesLiga, League 1 na Serie A.
Yani wachezaji wanaotoka hizo Ligi ni wachache sana ndiyo utafanikiwa.

Wachezaji wa kuaminika ni wa kutoka hapahapa EPL na LaLiga.
Pia kutoka Netherlands Eredivisie wapo vizuri.
Kabisa nadhani hii pia jopo la usajili nao wanafanya homework yao vizuri sana kwenye ku point hawa wa EPL maana wote wamekua more fire tangu wametua....

YNWA
 
Jana wamexheza vizuri kwakuwa hakukuwa na kukaa na mpira sana mguuni na choyochoyo haikuwepo, kizuri zaidi Salah hakuepo, hope aone na abadirike acheze kwa team play kama msimu wa kwanza, ila wote tunajua haito happen
Mane amecheza vizuri shida hakuwa na bahati, Firmino shida yake ni mzito
All in all Williams ni mzuri sana na ni mwepesi sana na anafaa kuwa sub ya Trent na ata akampiku trent namba kwa kukaba, strong pass na crosses ni ngum kumfikia Trent
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom