Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_20201124_103820.jpg
IMG_20201124_103836.jpg
 
David James: “I’ve said this before and it’s not that Mo Salah isn’t a great player, it’s just that Liverpool seem to look better without him on the field because there is more fluidity.”

Je Kuna ukweli
Mimi nna
David James: “I’ve said this before and it’s not that Mo Salah isn’t a great player, it’s just that Liverpool seem to look better without him on the field because there is more fluidity.”

Je Kuna ukweli ?
Mtazamo huo pia naniliwahi sema nikatolea mfano mechi ya Evaton ikapingwa sana humu
 
Aache ujinga kama Shaffih Dauda! MO Salah is a great Player.

Hiyo ni kawaida kwa washabiki wa Soccer wote.

Tulisema hapahapa kuwa Akiumia VVD tumekwisha na hatutoweza kuchomoka! Ameumia Je hatushindi? Kwahiyo according to whom (David James) VVD isn't a great Player?

Tulisema hapa kuwa akiondoka Coutinho tumekwisha! lakini aliondoka tukabeba Makombe Je Coutinho wasn't a great Player?

Ukweli ni kwamba Klopp katengeneza kitu ambacho Makocha wote wa sasa hawana cha kutokumtegemea mchezaji fulani atupe matokeo! Lakini haimaanishi kuwa Mchezaji huyo siyo great Player.

Tulimkosa Mane tukamuangamiza Barcelona, Je Mane isn't a Great Player?

Kwahiyo kukosekana Salah then tunashinda that doesn't mean that Salah isn't a great Player! But Klopp created mysterious team work that doesn't depends on anyone to get the results we want.
Alie kosekana ni Salah akacheza Shaqil kumbuka.

Naamini Salah hana pengo pale labda Mane
Salah hatoi msaa ukabaji
 
Kwenye Beki tuna Option nyingi sana hata katika Janga hili la injury hatujaonesha Kuyumba.

VVD
MATIP
GOMEZ
NAT PHILLIPS
RHYS WILLIAMS
FABINHO (OPTION)

Namba 3 yupo Backup Tsimikas ambaye pia namba 2 anacover! Pia Neco Williams apewe dakika za kucheza ili apate uzoefu.

Ukweli usiofichika JOEL MATIP ni Beki wa kulindwa pale Liverpool na apewe Mkataba mpya kwa any cost.

Nimegundua kwenye Leanding uwanjani MATIP hana tofauti na VVD, pia kwa uwezo yupo vizuri kuliko GOMEZ ambaye kwasasa kuna hatari ya kuzidiwa na hata Nat Phillips.

Hivyo kwa maoni yangu hakuna haja ya kugharamika kwa kununua Beki ya kati unless aondoke MATIP au GOMEZ.
Upo sawa kabisa kusajili hovyo ndo kuna haribu tim hem ona Mancity usajili wake
 
Kwa mtazamo wangu pengo kwa sasa ni mane na Allison basi hao wakikosekana unaona kabisa timu inavyopwaya

Acheni utani jamani, hii tuiongee tu kama kujifurahisha lakini tusiombe itokee Salah kupata majeruhi ya kuwa nje zaidi ya miezi 2.

Pengo la Salah huwezi kuliziba kwa wachezaji tulionao, labda tufanye usajili.
 
Mkuu hiyo ilikuwa zamani japo bado ni mchezaji mzuri na tunamuhitaji ila kwangu naona Liverpool ya sasa sio ile iliyokuwa inategemea matokeo/ushindi kutoka kwa mchezaji mmoja ambaye ni salah
 
Mkuu hiyo ilikuwa zamani japo bado ni mchezaji mzuri na tunamuhitaji ila kwangu naona Liverpool ya sasa sio ile iliyokuwa inategemea matokeo/ushindi kutoka kwa mchezaji mmoja ambaye ni salah

Kuna kauli kwamba, Salah asipokuwepo timu inacheza vizuri sana.

What does that mean? Kwamba Salah ni mzigo kwenye timu na ndiye anaturudisha nyuma?
 
Kuna kauli kwamba, Salah asipokuwepo timu inacheza vizuri sana.

What does that mean? Kwamba Salah ni mzigo kwenye timu na ndiye anaturudisha nyuma?
Nnavyoona mimi Salah wa sasa huwa anapoteza nafasi nyingi sana za kufunga tofaut na ilivyokuwa kipindi cha nyuma. Nakingine ni swala la ubinafsi kuna mda huwa anajisahau kwenye hili.
Licha ya yote hayo kwangu naona salah sio mzigo maana zikipigwa counter attack jamaa yuko vizuri sana.
 
Mfano tungeweka polls, ungechagua Salah out au Salah in?

Maana naona umejibu vyote viwili pale juu.

Mfano mimi binafsi msimamo wangu ni Salah in, Firmino out (ila game ya juzi inanifikirisha kidogo, nampa game 5 za EPL).
 
Ukisema Salah anapoteza chance nyingi ujue ni kwa sababu anakaa kwenye position nzur mara nyingi na ndo anayecreate chances nyingi kuliko wachezaji wote pale mbele!!!!

So kwa sababu gameplan ya juz imefanya kazi kwa leceister isitufanye tuanze kutema mbovu kwa mwamedi coz ana umuhimu mkubwa sanaa
 
Mfano tungeweka polls, ungechagua Salah out au Salah in?

Maana naona umejibu vyote viwili pale juu.

Mfano mimi binafsi msimamo wangu ni Salah in, Firmino out (ila game ya juzi inanifikirisha kidogo, nampa game 5 za EPL).
Salah in mkuu ...vipi kwenye hizo game 5 Firmino akionyesha makali msimamo wako utakuwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom