zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Habari yako ndugu, umepotea sana huku,Jana wamexheza vizuri kwakuwa hakukuwa na kukaa na mpira sana mguuni na choyochoyo haikuwepo, kizuri zaidi Salah hakuepo, hope aone na abadirike acheze kwa team play kama msimu wa kwanza, ila wote tunajua haito happen
Mane amecheza vizuri shida hakuwa na bahati, Firmino shida yake ni mzito
All in all Williams ni mzuri sana na ni mwepesi sana na anafaa kuwa sub ya Trent na ata akampiku trent namba kwa kukaba, strong pass na crosses ni ngum kumfikia Trent
Leo naona hujam quote mtu, umetoa analysis yako, Good Boy,