Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamaa kiukweli inauma sana kukosa kuiona talent ya Keita sababu ya injuries, kuna game ya UEFA dhidi ya Salsberg alikichafua pia. Tulikuwa ugenini tutashinda 2 bila.

Hata game ya Man Utd tulishinda 3 kwa 1 Anfield, yeye na Shaqir walicheza vizuri mno.
Napenda Hii spirit hongera mwana
 
Adjustments.jpg
 
Mimi naweza sema yule Keita huko kwao wanampiga misumari. Waafrica tunajijua wenyewe mambo yetu ujue. Kama vipi akawaombe radhi wazee wa kijiji chao. Hatotamba.
 
Hii kweli uenda tulipigwa jana, hahahahahah mbona mm naona kama goli au kwenye matumizi ya goal technology mm ndo niko bashite sana?
Sheria inasema mpira hauruhusiwi kugusa mstari hata nukta, kwa picha hiyo mpira bado umegusa mstari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom