Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Soon utawaona Real Madrid au Barcelona wakileta ofa nono mno kumnasa huyu jamaa...

Ana miaka 23 tu ki ukweli Pepijn Lijnders hakukosea kumpigania mpaka tukapata saini yake huyu dogo...

Akasaini mkataba wa miaka 5..

Jota the new Kop favourite boy...

YNWA

Chakushangaza mpaka leo sipati Jibu kwanini Wolves alikuwa hana namba ya uhakika na mara nyingi alikuwa akianzia Benchi.
 
Chakushangaza mpaka leo sipati Jibu kwanini Wolves alikuwa hana namba ya uhakika na mara nyingi alikuwa akianzia Benchi.
Hahaha Nuno ana vimsimamo fulani hivi sijui anafikiliagi vipi...

Kwa mfano Baunsa Traore wanataka kumpa mkataba mpya lakini dogo amegoma kuongeza kwa vile karibia kila gemu anaanzia benchi wakati yeye anataka aanze mwanzo mwisho...

Na bora huyu Jota hakuanzaga kwao mechi zote maana baishara yake ingekua mnada fulani aisee...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom