Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Ile gemu hakika nilisema kweli hapa tumepata jembe haswa ila duh false hopes anakwenda mbele anarudi nyuma yaani performance chat yake ipo zigzag...Ila kiukweli Keita ile game ya west ham ndo siku alicheza kiwango kuliko siku ingine yoyote.
Klopp anafaa kumwachia ameshaku failed project...
Klopp June 2021 ni mwendo wa kuingia sokoni angalau tumpate Camavinga wa Rennes au Housemm wa Lyon..
Keita ana muda mpaka EPL inaisha kumshawishi Klopp endapo anaweza kukaa mzimaaa bila kuumia mara kwa mara na output yake uwanjani iwe super high...
YNWA


