IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,749
- 7,115
Hii livescore yako inaitwaje?
Hii livescore yako inaitwaje?
Hicho chama cha keita aisee bima yao iwe tofauti na wengineHuyu Dogo anazidi kukomaa, baada ya Misimu miwili atakuwa tishio uwanjani iwapo hataingia katika Chama cha kina Keita na OX.
Wee jamaa unamchukia huyu mtu utazani anakusudia kuumiaKupata ela ya kumnunua Mbappe naona Keita, Ox, Origi wawe sokoni tu...
Hapa utasikia Keita nje siku 60...
This boy is cursed...
YNWA
Kwani huko hamna misumari?Firmino ingekuwa bongo wangesema amepigwa misumari
Weee jamaa utakua hujui mpira sio bureMkuu huyu jone nikimuonaga,namfananisha sana na Captain Henderson na mnaanavyocheza.
Naona timu ya mane, jota na Bobby ni hatari sababu wote na wanapress sanaTrue Man.
Bobby ka press sana aisee alikuwa na njaa kweli kweli.
Naona timu ya mane, jota na Bobby ni hatari sababu wote na wanapress sana
Mkuu sioni emonji nataka nicheke ujueHenderson angekuwepo jana tungeshinda goli 6 bila.
Hiki kitu kuna siku nilikisema
Kuwa barcelona Anataka atufanyie unyang'anyi kwa GINI
Noted Mkuu.Wee jamaa unamchukia huyu mtu utazani anakusudia kuumia
Muonee huluma basi kwa anayo yapita