Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wale Madogo wamenunuliwa kibiashara tu lakini sio rahisi kutoboa.

Brewster kauzwa
Ki-Jana kauzwa
Wilson alikosekana Mteja aliyefikia bei.
Dem Berge sioni njia ya kutoboa.

Hapa uhakika ni Jones tu.

Neco na Grujic ni 50/50

Jota kanunuliwa kwa ajili ya kutumiwa na sio kusubiri future.

Kwahiyo issue ya wale Madogo haikuwa reality
Madogo wengi sana wana imani kwa vile wote watakua wapo Kirkby basi Klopp atakua anawaona na kushauriana na jopo lake namna vyema ya kuwa integrate kwenye 1st team provisional squad ama kuwatoa kwa mkopo ama kuwauza nk..

Pia wengi wao wana imani kubwa sana kumuona TAA alivyokamata namba..

Sasa kazi kwao kujituma haswa kwani hizi nafasi haziji kila siku... Kinahitajika ni utayari na kujifua sawa sawa inavyotokea nafasi kama hii ya VVD basi wakipata nafasi hakuna kurudi nyuma ni kuonyesha kwa nini wapo klabuni ki ukweli Nat Philips na Williams wameonyesha ukomavu wa hali juu sana tofauti na tulivyodhania kwamba bila VVD basi tumepatikana UCL na kwenye EPL...

Shinda ni pale Klopp wakipona wenye namba zao basi hawa hata kupata dakika 20 huku hata tukiwa tumeshinda itakua ishu...

Grujic huyu kupata namba hapa naona inashidikana nadhani huu usajili ulikua wa Buvac haha sio bure aisee..

Neco anahitaji real chance ku master vyema klosi zake na keeping position...

YNWA
 
Wewe jamaa utapata Shida sana kutafuta attention kwenye huu uzi.

Usione tumenyamaza jua kuna Watu tunakuangalia tu hapa tukiamua kukushukia utakimbia kama kina Mr. Tajiri walivyokimbia hapa.

Yani unapata shida bure tu! Huna sifa nzuri utakayompa Bobby ambayo sisi hatujawahi kumpa hapa.

Labda jiulize alilipataje jina la Bobby kutoka Firmino.

Once Bobby was our hero but not anymore.

Jamaa anampenda Firmino kuliko anavyoipenda Liverpool
 
Kila jambo linatokea kwa sababu.

Hapo kabla sikuwahi kumuona Gomez kucheza mechi 7 mfululizo without Injury.

Lakini kipindi hichi cha ukata wa mabeki ndiyo amekuwa beki wetu Mzima kuliko wote utadhani hakuwa Mhudhuriaji mzuri wa Wodi ya wagonjwa.

Inaonesha amepata mwarubaini wa majeruhi.
 
Baada ya International Fabinho, Thiago and TAA will be back au karibu karibu na kurudi.

Only VVD atakuwa missed.

OX na Keita no more my favorites, I'm very disappointed by their endless injuries, I wish them kila la kheri kwenye future life zao.
 
Baada ya International Fabinho, Thiago and TAA will be back au karibu karibu na kurudi.

Only VVD atakuwa missed.

OX na Keita no more my favorites, I'm very disappointed by their endless injuries, I wish them kila la kheri kwenye future life zao.

Mkuu hao wakina Ox na keita wakiondoka hapo liverpool utashangaa hawaumii tena kama lallana sasa hivi kila mechi yuko fit.
 
Mkuu hao wakina Ox na keita wakiondoka hapo liverpool utashangaa hawaumii tena kama lallana sasa hivi kila mechi yuko fit.
Mkuu Lallana gemu yao ya kwanza hata hakumaliza aliumia zile muscle pull zake..

Liverpool wanacheza na very high intensity ndio maana wanaumia mpaka mazoezini kama Ox au Keita...

Lakini hawa wote wenye historia hii ya majeruhi mara kwa mara hawajaanzia kwetu kua hivyo Keita tangu yupo RB au Ox tangu yupo Gunners walikua hawachezi mbali na ma dokta...

Tazama Fabinho tangu yupo Real Madrid au Monaco majeraha yake sio long term tofauti kabisa na hawa akina Shaqir nk..

Sasa cha kujiuliza je ingekua genggenpressing kweli hawa si wangeumia kila mechi 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️...

Wana talent ila fitness wise they dont have the cutting edge ya ku survive Liverpool...

YNWA
 
Mkuu hao wakina Ox na keita wakiondoka hapo liverpool utashangaa hawaumii tena kama lallana sasa hivi kila mechi yuko fit.
Brighton hawachezi high pressing game hivyo pale dogo atafanikiwa aisee... Lallana huyu huyu kipindi tunacheza genggenpressing unamkumbuka alikimbiza vyema tu.. Nadhani pia na umri na kuumia mia mara kwa mara kulishusha confidence yake...

Same case na Ings yupo moto mbaya tangu atue pale japo kwa sasa ameumia..

Rhian bado hajakamata rhythm vizuri pale Blades...

YNWA
 
Adjustments.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom