Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Ila we jamaa dah,

Kuna kipindi nilikuwa najua kwamba jamaa anavyoandika pumba na matusi ni ushabiki tu, ila baada ya kuona hiyo thread nikajua ni zaidi ya ushabiki.

Ukisoma hapo chini utaelewa tatizo ni lilipo


Saizi akili imeduma kabisa, sielewi naona jua linachomoza na kuzama, jana nilikuwa natembea jion kuangalia hata fursa naona kila mtu yupo busy hakuna msaada, nikaona machupa mawili ya maji Kilimanjaro yametumika, mara nikajikuta naokota akili inaniambia yakiwa mengi unaweza kuyauza na kupata kipato, naanza kuokota makopo hii si dalili za ukicha kweli au mimi sielewi.

Daaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom