Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kuna Kitu cha Kujadili hapa kama wapenda soccer.
PEP ametumia pesa nyingi sana (Huge Budget) kutengeneza strong defence line lakini ameshidwa kufanikiwa, mchezaji pekee aliyefanikiwa kwa 100% ni Laporte lakini kwa bahati mbaya majeruhi yamemrudisha nyuma na kuporomosha kiwango chake kwa takribani 50%.
Je kufeli kwa Defence ya Man City licha ya kusajili Mabeki wazuri wewe ukiwa Mshabiki wa Mpira unadhani sababu ni nini?
Nilichogundua mimi kwa upande wangu ni:-
- Mfumo wa PEP wa Tiktaka haufiti kwa mabeki ambao hawakukulia katika mfumo huo kama waliokulia kina Peque pale Lamacia. Hivyo kila Beki anayesajiliwa anashindwa kuadapt na Mfumo.
- Kuto kuwaamini Vijana au Academy graduates na kukimbilia kuwaamini wale waliosajiliwa kwa Mkwanja mrefu.
MFANO:-
Kama si injury ya Clyne nadhani tusingejua kama kuna Mtu anaitwa TAA.
Kama sio Injury ya Moreno tusingejua kama kuna Mtu anaitwa ROBBO.
Lakini baada ya kucheza Klopp akawaamini.
Hivyo na pale Man City pana Dogo anacheza Left Back anaitwa ZINCHEKO, huyu dogo kiukweli ni mchezaji mzuri sana lakini PEP Kashindwa kumuamini.
Lakini angemuamini huyu Dogo basi angefanikiwa kusolve sehemu ya Defence yake na kupunguza gharama.
Sikujua sababu ya kumsajili Ake kwa gharama kubwa wakati sio upgrade ya mabeki alionao.
Je, una maoni yoyote?