Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Gini pia anatakiwa aache unnecessary turn na dribble kwani anaishia kupoteza mipira ambayo husababisha hatari kwetu.
Mostly hua anakua kwenye half ya upinzani ndio maana hizo turn zake hazinaga madhara sasa jana bila Fabby he was almost near our back line na pale hapatakiwi Turns Au Dribbles... Klopp will get a word aelewe...he has to borrow some past games cds kwa Fabby

Milner jana at RB vs tricky Sterling haha and Babu was superb...

Hope Trent will get better maana jana going forward Milner legs cant do better than jana and we need Trent hitting those long diagonal passes jana Mane alizikosa sana kila akitoa ishara Milner hakuelewa na ndio hivyo tena umri ...

YNWA
 
Bhana kitoto Cha malafyale hicho we jamaa

Kijinga kimoja hvi
🤣🤣🤣 Alafu nakuonaga kimbelembele flani hivi Amazing flani hivii

Usichikijua Ni kuwa Ni mmoja wa waanzilishi wa jukwaa so nawaonaga vizee flani hivi Amazing flani hivii

Wewe na mwenzio f...k all
 
Sasahivi nikiwa naangalia notification nimekumbuka issue moja muhimu sana ambayo nilisahau kuiadress hapa.

AWARDED PENALTY YA CITY V/S DENIED PENALTY YA LIVERPOOL

Wakati Gomez alipoushika Mpira kwa bahati mbaya wachezaji wa City waliomba huku PEP akitaka kuwameza waamuzi kutaka Penalty, hatimae VAR ikahusika na wakazawadiwa Penalty.
Nilikaa na Mshabiki mmoja wa Shelshit alimpongeza sana Refa kuwa kafanya uwamuzi wa halali usio na Upendeleo.

Hatimae na Mchezaji wa Man City alikuja akafanya tukio kama la Gomez la kuunawa mpira na Salah akaongoza wachezaji wa Liverpool kuiomba lakini Refa akawa kama hajui kinachoendelea na wala hakukumbuka kuwa kuna VAR.
Nikamuuliza yule Mshabiki wa Chelshit aliyesifia Maamuzi ya Refa, "Unaionaje ile handball ya Man City ambayo Refa amepeta?"
Alinijibu kuwa pale Refa yupo sahihi kwasababu mchezaji amefichua mikono lakini mpira umemfata.

Nikamuuliza kwani Gomez alienda kumpokonya mpira KDB kwa kutumia mikono au naye ilimgonga?

Hivyo marahii maamuzi mengi yamekuwa against Liverpool but tutazidi kuwaprove wrong.
 
Liverpool player ratings vs Man City - Premier League
GK: Alisson - 8

He had a great afternoon, brilliant save to pick de Bruyne cross the highlight.

DR: Trent Alexander-Arnold - 6

Turned by Jesus for City equaliser, had bullet shot saved in first half, sustained calf injury

DC: Joe Gomez - 7

Reprieved after his handball led to City penalty and otherwise solid performance

DC: Joel Matip - 6

Booked for clumsy challenge on De Bruyne early second period, shaky at times

DL: Andy Robertson - 6

Equaliser came from his side and not quite as his best

MC: Jordan Henderson - 7

Put in a real shift in midfield two and delivered some tellilng passes

MC: Georginio Wijnaldum - 7

Superb effort in middle alongside Henderson, never stopped running

FW: Diogo Jota - 6

Lively in a front four first half but faded a little as the match wore on

FW: Mohamed Salah - 7

Busy afternoon, some waspish runs and took penalty well for 10th goal of current campaign

FW: Sadio Mane - 8

Driving runs caused problems, won soft penalty early and huge defensive shift as well

ST: Roberto Firmino - 5

Did not pose much of a threat and no surprise to see him hooked on the hour

Liverpool substitutes
Shaqiri (for Firmino 59) 6

Milner (for AlexanderArnold 63) 6

Express..

YNWA
 
Mostly likely Gini kama atasaini basi ni miaka miwili huku Jones akizidi kuandaliwa aje kuchukua namba rasmi.. Katika ile gemu ya Atalanta dogo alicheza vyema sana ugenini kwa kweli Klopp alikua sahihi kumbakisha kikosini.

Taikumi hivi anakwama wapi naona sasa hata kupata dakika inakua ishu..

Kama vipi atolewe kwa mkopo January kurudisha makali na apate dakika za kutosha...

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Liverpool's Trent Alexander-Arnold is expected to be out for around four weeks after injuring his calf in the Reds' 1-1 draw with Manchester City on Sunday.

🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️...

Sky.

YNWA
 
Liverpool's Trent Alexander-Arnold is expected to be out for around four weeks after injuring his calf in the Reds' 1-1 draw with Manchester City on Sunday.

🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️...

Sky.

YNWA

Milner atasaidia kwa kipindi hichi cha mpito! Worry not.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom