Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Tutapambana kibishi hivyo hivyo tu, Hatuna namna.Kops pengo la Gomez linazibwa vp.
Tutapambana kibishi hivyo hivyo tu, Hatuna namna.Kops pengo la Gomez linazibwa vp.



Bila shaka wewe ni mamlukiTunaweza kwenda kule kwa manure tukamwazima huyu kamanda ndugu yake sarpongView attachment 1624303
.... Adrian atacheza CBNext Man Up, itatafutwa namna.
Huu msimu ni msimu ambao tunapambana na fate (football gods have turned their backs on us).




Kops pengo la Gomez linazibwa vp.
Hapana mkuu, mimi ni liverpooll damuBila shaka wewe ni mamluki
Ulozi wako umekubali..Kila jambo linatokea kwa sababu.
Hapo kabla sikuwahi kumuona Gomez kucheza mechi 7 mfululizo without Injury.
Lakini kipindi hichi cha ukata wa mabeki ndiyo amekuwa beki wetu Mzima kuliko wote utadhani hakuwa Mhudhuriaji mzuri wa Wodi ya wagonjwa.
Inaonesha amepata mwarubaini wa majeruhi.
Ndiyo nani huyo anatokea ligi ipiTetesi zinasema anaweza kusajiliwa garay ni free contract kwa miezi sita.
Alikuwa valencia now yupo free ni muagentina anaitwa ezekiel garay.Ndiyo nani huyo anatokea ligi ipi
Ooooh kumbe Ezekiel Garay huyu namfahamu japo sijamfatilia sikuAlikuwa valencia now yupo free ni muagentina anaitwa ezekiel garay.
Tunaweza kwenda kule kwa manure tukamwazima huyu kamanda ndugu yake sarpongView attachment 1624303

Mkuu ulimsifiwa sana mpaka mwenyewe akajishangaa amecheza gemu zote karibia 9 bila kuumia haha...Gomez naye chali! Ameumia akiwa mazoezini Timu ya Taifa.
He is made for Liverpool and we are made for him...Long live the Bosse.....
Team ya wamama wa buza
Allison is the real gem man...Tokea mara ya mwisho aliposajiliwa Alisson na Fabinho usajili mwengine uliofanyika ni wa Diogo Jota.
Nani anabisha?