Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ishu ya injury Mkuu ni ajali kazini hata wao wenyewe they are damn fed up kua mezani kwa ma dokta...

Tazama VVD alivyoumia huku akiwa amecheza tangu Jan 2018 bila major injury mpaka pale anaumia kwenye derby..

I just wish them all the best wapone..

Injuries za hawa jamaa ni well documented hata kabla hawajaja kwetu hivyo tuwe na subira...

YNWA
. Sawa mkuu MAOMBI kwa chama letu
 
Vvd kuumia mrefu ilkua ni lazima na niliona kabisa

Huwezi bishana na nature aisee
Jamaa alijilinda sana kutoumia yaani mpaka pale kwenye derby ikawa vile.. Na uhakika Ox au Nabby wangekua wanajilinda kama VVD wasingekua wanaumia ovyo ovyo kama sasa..

Na ni long term injury earliest mpaka pengine April 2021 na shinda ni pale hua ina kawaida ya kujirudia 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️.. May mother luck be with the boy...

YNWA
 
Sawa tuuuuuu


Walichomfanya Barca hatakuja kusahau ,Karma is real

Kutoka mshahara wa £300k akajikuta anajibembeleza kwa Atletico waliombamiza mshahara wa £160k wakati kuna wachezaji tena sio strikers wanakula zaidi ya £250k na tena wengi tu pale shame on him tena kwa umri wake wa 33 years
AT ilikua plan B kaka hivyo hata hio £160 he is a lucky dude...

Plan ilikua atue Juventus kwa mshahara zaidi ya £200k per week... Alikwama kwenye mtihani apate pasi ya Italy kwa vile Juventus walishajaza non EU players slots hivyo asikwenda pale...

Kutua Wanda Metropolitan he is a lucky boy in deed..

Maana ilikua akikosa hapo arejee Ajax na kule hata kupata £120k kwa wiki ingekua ishuuu..


YNWA
 
AT ilikua plan B kaka hivyo hata hio £160 he is a lucky dude...

Plan ilikua atue Juventus kwa mshahara zaidi ya £200k per week... Alikwama kwenye mtihani apate pasi ya Italy kwa vile Juventus walishajaza non EU players slots hivyo asikwenda pale...

Kutua Wanda Metropolitan he is a lucky boy in deed..

Maana ilikua akikosa hapo arejee Ajax na kule hata kupata £120k kwa wiki ingekua ishuuu..


YNWA
At Ajax to get even £70k I don't reckon that, they cannot afford such sums
 
Mkuu bado una imani na Keita kuja kua a real HIT hapa Liverpool ....

Kwa sasa kuliko Keita aanze bora nimuone Jones aanze.. Boy has talent and he will get better with time..

Keita wapewe RB aafu tuongeze ela kiduchu tumpate Dayot...

YNWA
Man Keita is our one and only midfielder that has ability to carry the ball forward , this dude is the 'ball carrier'

Our Gaffer had not reaped the best out of this lad, a superb and talented lad I say

See what is happening with Wijnaldum there, a baller with a talent to get us goals and many many goals I believe, but instead our Gaffer had and continue on playing that dude at defensive midfield
 
Man Keita is our one and only midfielder that has ability to carry the ball forward a dude is the 'ball carrier'

Our Gaffer had not reaped the best out of this lad, a superb and talented lad I say

See what is happening with Wijnaldum there, a baller with a talent to get us goals and many many goals I believe, but instead our Gaffer had and continue on playing that dude at defensive midfield
Absolutely true Keita is a baller that i can't say otherwise... My only worry is the boy has lacked that extra sense to know how to operate without getting a hit here and there.. He is a bit heavy 😂😂i would say..

His speed is not helping him in making the right decisions that why i lack the trust he will ever show us the kind of performance we have been waiting...

About Gini what's can i say.. In short for him to hit those goals means Klopp has to abandon using his RB and LB as creators of which after winning UEFA, Super Cup, WCC and EPL i wont dare say we change the system man...

YNWA
 
We have new LFC.

Hatuna beki sasa hivi, the best thing we can do is defending by offending, with Jota in for Bobby, that's game.
Every story has a beginning and fabulous Jota story is just unfolding... There will be ups and down.. At 23yrs he has all the time to make history with the mighty Reds..hold ua guns guys

Firmino story damn there is a reason when he is on song he is the 1st name on the starting line up.. Too unfortunate his story has taken a new twist with a zigzag trend he can still turn this around...

Instead of comparing the two we should embrace how we have stepped up the bench with game changer Jota.. We have complained sana how we lack a proper sub to take off the pressure from the Favourite Front 3 and Jota is the answer..

Bravo Edwards, Bravo Klopp for having the balls to sanction that buy of Jota at £40m plus £5m adds on... Wengine walisema tumepigwa haha well me for once hata kabla hajatua Liverpool i valued this boy highly and hajatuangusha..

Whoever Klopp picks kesho will be fighting for the team not personal accolades.. 3 points muhimu sanaaa..

YNWA
 
Hivi OX na KEITA tutawajadili saa ngapi?

Coz nikiangalia Mshahara wanaokula na kile wanachodeliver kama haviendani!!!

Ni bora tu waende sehemu nyengine wakajatibu bahati zao.
Keita naona atumike kama bargaining tool kumpata Dayot pale RB...

Ox sijui kwenye mkataba kuna resale clause 🤓🤓🤓arudi tu alikotoka...

YNWA
 
When Sky pundits were discussing about who should Jota replace among the front three Jamie Carragher admitted that Firmino is no longer a threat in front of the goal
And Klopp said there is a reason Carragher aint a Coach or Manager 🤣🤣..

Hawa pundits wanakwenda na ushindi.. Tazama Manchester United alivyowafunga PSG na RB lol wakawa Baby Face Ole now is the New Fergie haha sasa Manchester United hao hao wakachezea kwa Arsenal aafu UCl nako kipigo eeee wakaanza bla bla kwamba ndio maana Mauricio Pochettino hajachukua kazi popote akisubiri Ole apigwe chini..


YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom