Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mkuu hilo swala la injury tumebadilisha madoctor wetu nakuchukua walio bora zaidi,ila naona bado hatujafanikiwa.
 
Kila mchezaji tunayemsajili lazima Injury imuhusu mbn wengine wapo vzr wakisajiliwa kwingine sisi why? Au hatuoni mbali ama?

Chamberlain akipokuwa arsenal alikuwa hapati namba ila Hana Injury?

Keita! Alikiwasha Sana Bundesliga Leo kukicha injury hata kwenye mazoezi?

Shakiri! HUYU nadhani Kuna mengine yasiyowekwa wazi kuhusu yeye

Klop jaribu kuona mbali
Mane na Salah Acheni ujinga wenu

YNWA
Hahaha et mane na Salah acheni ujinga wenu
(Misumari)
 
Sepp i was expecting msimu huu ata-break into 1st team, lkn naona yupo bado u23 aisee!

ile hype imeenda wap? sielewi
Kwa vile sasa watakua wapo kwenye training facility moja naamini tutawaona wengi wako step up...

Mfano Jones game vs Atalanta ali step up vyema...

YNWA
 
Hahaha relax kaka......

Hakuna namna aisee ndio waliopo hao kids ndugu...

Naona sasa January wakiingia sokoni kununua maana Matip bado anasusua...

YNWA
Your beloved Brazilian ace got a tough Portuguese competitor now

Jus a single league goal from six premier league starts for your lad against 3 league goals from just single start for the Portuguese lad

Let us know your thoughts/opinions on this
 
Etihad au ETHIHAD Pumbavu zako
Kisoka wanaonekana wametuzidi
Ila naimani Klop ataenda na mbinu mpya kabisa

YNWA ✔️💪
 
Mkuu Ladder 49 Kuna kitu captain anacho sisi hatukioni, Ila tactician wao wanakiona. Wakati sisi tunapohitaji matokeo uwanjani na kwa Aina ya uchezaji wa captain unatufanya kuona anashindwa kusukuma mipira mbele na kuipeleka wide n back. Tena kwa msimu huu zile pass zake kapunguza kwa kiwango kikubwa Sana.

Tunapohitaji Sana kwenye gemu zetu kwa Sasa.
Kila nikisoma comments zako naona kama taswira ya wasira kichwani mwangu.
 
Kudadeki VPN yangu ya Kitonga iliexpire nikaingia Playstore ngoma ebo internet imegoma 😂😂😂

Tokea Jumanne JF naisikia kwenye daladala tu!

Leo nimekutana na Msukuma kanipa App ya Ultrasurf nimeinstall haina kuexpire internet mwanzo mwisho ✌️✌️ ndiyo naingia JF muda huu kuona mjadala wa Firmino 😂😂😂
 
Your beloved Brazilian ace got a tough Portuguese competitor now

Jus a single league goal from six premier league starts for your lad against 3 league goals from just single start for the Portuguese lad

Let us know your thoughts/opinions on this
Ndugu Masamila07 ni kweli Jota ameingia na ku settle haraka mno..

Ame surprise wengi mpaka Klopp mwenyewe anasema alijua dogo yupo vizuri ila sio hii kasi...

Kazi ya Bobby hua ni ku link players pale mbele na amefanya kazi hio kwa mafanikio makubwa mno kiasi tangu Klopp atue he is the top to play many minutes akifuatana na Gini...

Sasa msimu huu Klopp anajaribu kubadili mifumo ili ku accomodate Salah acheze central zaidi na huku akijaribu na kwa mafanikio ku accomodate the Ureno boy..

Firmino is no longer the same boy he was and we are lucky we ain't expecting mediocre subs za akina Origi nk we have our new boy who can shot with both legs, he can run with the ball, he can score headed goals nk.. Ki ufupi Jota ni upgrade wa Firmino and this will turn to be the best signing of 2020 in our club..

Soon will bring you thier head to head data...

Lastly Jota came from Wolverhampton they play almost the same intense football like us..

Whats a bargain buy we got here at £45m and he is only 23yrs....

Sasa ajabu eti em Pundits wanasema vs Citizens Jota aanzie benchi aafu pale mbele aanze Bobby haha like serious.. Jota should start this game and rock the Ethad...

YNWA
 
Kudadeki VPN yangu ya Kitonga iliexpire nikaingia Playstore ngoma ebo internet imegoma 😂😂😂

Tokea Jumanne JF naisikia kwenye daladala tu!

Leo nimekutana na Msukuma kanipa App ya Ultrasurf nimeinstall haina kuexpire internet mwanzo mwisho ✌️✌️ ndiyo naingia JF muda huu kuona mjadala wa Firmino 😂😂😂

Wewe tumekushtukia kwamba umehamia Liverpool HALISI.
 
Ndugu Masamila07 ni kweli Jota ameingia na ku settle haraka mno..

Ame surprise wengi mpaka Klopp mwenyewe anasema alijua dogo yupo vizuri ila sio hii kasi...

Kazi ya Bobby hua ni ku link players pale mbele na amefanya kazi hio kwa mafanikio makubwa mno kiasi tangu Klopp atue he is the top to play many minutes akifuatana na Gini...

Sasa msimu huu Klopp anajaribu kubadili mifumo ili ku accomodate Salah acheze central zaidi na huku akijaribu na kwa mafanikio ku accomodate the Ureno boy..

Firmino is no longer the same boy he was and we are lucky we ain't expecting mediocre subs za akina Origi nk we have our new boy who can shot with both legs, he can run with the ball, he can score headed goals nk.. Ki ufupi Jota ni upgrade wa Firmino and this will turn to be the best signing of 2020 in our club..

Soon will bring you thier head to head data...

Lastly Jota came from Wolverhampton they play almost the same intense football like us..

Whats a bargain buy we got here at £45m and he is only 23yrs....

Sasa ajabu eti em Pundits wanasema vs Citizens Jota aanzie benchi aafu pale mbele aanze Bobby haha like serious.. Jota should start this game and rock the Ethad...

YNWA
You got same opinion as mine there

YNWA
 
Liverpool boss Jurgen Klopp insists Brazil striker Roberto Firmino brings much more to the team than goals.

Firmino's place in the side has been brought into focus because of the form of summer signing Diogo Jota, who has scored seven goals in 10 matches.

Last season no Premier League player won possession more than Firmino's 37.

"He was the difference-maker so many times," said Klopp, who added he would "feel really embarrassed" to list all the qualities of the 29-year-old.

Liverpool signed Firmino from Hoffenheim in 2015 on a five-year deal for a fee of about £29m.

He has scored 58 Premier League goals in 182 appearances, with last season's return of nine the first campaign in which he did not reach double figures.

A key component of Firmino's role, however, is to lead the forward press and create space for the likes of Mohamed Salah and Sadio Mane, a contributing factor last term as Liverpool won their first top-flight title for 30 years.

"I don't have to say one word about Bobby Firmino and how important he was for us, I don't waste time with that," Klopp said.

"He was in so many games the difference-maker without scoring maybe, I'm not sure, but with scoring as well in other games, so I would feel really embarrassed if I had to mention now the qualities of Bobby Firmino.

"I can't help these people, sorry. . That's how it is."

BBC
 
You got same opinion as mine there

YNWA
Unajua hatujazoea haya mambo ya like for like subs...

In fact we are used to the fabulous front 3 in Mane Bobby Salah kiasi we see they are unplayable when fit lazima waanze wote that how its has been for the last 3 seasons but now dynamics has changed we have a new kop in town blazing to conquer haha ain't we lucky guys that now we can discuss like for upgrade start in the 1st 11 haha

Jota ni Klopp protoje he has to manage him with care to keep him firing in all v8 cylinders 🔥🔥🔥🔥....

Klopp has to keep working out with Bobby to bring again the best from the boy.. He has become our weak link pale mbele losing possession oftenly and in dangerous areas as the opposition immediately hit a counter attack.. Its like the EPL Managers has mastered that Bobby is the key up front and if they stop Bobby they nab us big time we lack ideas..

For now Bobby with the competition at hand he has to impress and work hard for the team like he used to...

Competition between Jota and Firmino is whats we have been demanding for so long to have like for like or better equipped subs... This is its guys whoever gets the nod come Sunday should do the job done to eclipse the other and win for the team...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom