dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,344
hii pasi ya shaq tamu sanaaaaa2nd goal. JotaView attachment 1616790
hii pasi ya shaq tamu sanaaaaa2nd goal. JotaView attachment 1616790
Kamalizane na washika mitutu kwanza ndipo urudi hapaMukifungwa munabadili na lugha.
Mutajifanya munaongea lugha ya malikia.
Ila leo ni kimatumbi kwenda mbele.
Milner atasababisha penalt 150Jurgen Klopp has confirmed that Fabinho will be absent when Liverpool make the trip to Manchester City next Sunday.
“Whether it's a 'minor' hamstring injury or not is not important, but after the international break he will be back for sure.” [liverpool echo]
Klopp: “We have other options like Henderson, or Gini (Wijnaldum) or James (Milner), or Robbo, he can play centre-half as well. They are all not smaller than Javier Mascherano, for example, and he played pretty well in that position (for Barcelona).”
GINI na HENDO ok, but Milner na Robbo NO.

Hapana hujaeleza vizuri mkuuRobbo thamani yake kwasasa haipungui £70, sisi tulimnunua kwa £8M, kwa kipindi yulichomnunua to ngeliuziwa kwa £30 tu basi angelikuwa Overpriced.
Same kwa Jota Mimi mpaka sasahivi bado nashikilia kauli yangu kuwa tumeuziwa Overpriced.
Hii nimeichukua Bei + Jina + Dakika alizokuwa anacheza + Alichokuwa anadeliver.
Mchezaji hapimwi bei kwa Timu aliyopo sasa, bali anapimwa kwa kule alikotoka, Kuna kitu ufahamu kuwa Jota hakuwa Regular starters huko Wolves.
Ni sawa na wanaosema Salah, Robbo, Mane, VVD walikuwa ni Bargain! Hapana haikuwa Bargain! Kwa Aina ya wachezaji tuliowanunua haikuwa Bargain bali ni bei walizostahili kulingana na Status zao za wakati huo.
Tingeuziwa Salah kwa £60M angelikuwa ni Overpriced.
Tusiangalie Mchezaji aliyevaa Jezi ya Liverpool, Bali angalia mchezaji akiwa amevaa Jezi ya Timu aliyotoka.
Klop anatengeneza Jota yes, Lakini haitoongeza thamani ya alikotoka bali itamuongezea thamani ya alipo sasa.
Kama tunaangalia mchezaji anachokifanya ndani ya Liverpool kwani tingeuziwa Mane kwa £35M ????
Sina uhakika kama nimeelezea Vizuri

Mbele wale watatu ujinga tu AniGame ilikuwa nzuri ingawa tulionesha baadhi ya makosa ya kiulinzi hasa beki za kati.
Kwasasa Gomez ndiye Leader wa Defence line alitakiwa kuongoza vizuri Madefenders wetu wote huku akimcoach kwa karibu amateur wetu Nathan Phillips.
Lakini yeye ndiye aliyekuwa anaongoza kwa errors kiasi ya kwamba hata huyu Phillips alikuwa makini.
Na pia Mido inahitaji iongeze umakini kidogo kwenye kulinda kwa sababu kipindi hicho to be honest Hendo anacheza vizuri sana hutaka nimuangalie tu akiwa na mpira, kama misimu mitatu iliyopita angelikuwa anacheza kama anavyocheza msimu huu basi hata mwanangu ningemuita Henderson na Mimi ningevaa Jezi iliyoandikwa Henderson lakini hakufanya hivyo.
Kwahiyo Hendo jana alicheza DM lakini muda mwingi amekuwa akipanda juu kushambulia nadhani imechangiwa na kuona kwenye ushambuliaji hakuna kinachofanyika.
Hivyo sehemu ya ulinzi kwenye Mido wakati mwengine ikawa ipo wazi.
Lakini kiujumla tulicheza Vizuri isipokuwa athari ya injuries ilionekana wazi.

Mane na Salah mmoja aondoke wazo langu tuYes, injuries imekuwa ni shida. Hata hivyo timu ilicheza kama mabingwa watetezi.
Tatizo langu kubwa ni kwa Firmino (ameisha), nikisema amechoka nitakuwa sijitendei haki, ameisha.
Salah na Mane waangalie jinsi wanavyoweza kucheza kama timu na siyo kama individuals. Wamekuwa hawapeani pasi au kumpa mwingine pasi haiwi ile ya kumalizia.
Thiago akipona, na kocha akaamua kucheza Fabinho nyuma; viungo Thiago, Hendo na Wijnaldum; mbele Jota, Salah na Mane, hakuna timu inaweza kutusumbua kwenye kutafuta ubingwa. Kama majeruhi yasipoongezeka.
Mane na Salah mmoja aondoke wazo langu tu
Laweza lisiwe sahihi Ila kwenye tv tu naona wasivopendana
Hivi hawa villa walitupiga vipi 7? Mbona wengine wanajigongea tu
Mimi sifurahi mpaka siku tutakayoziondosha zile Kima za Godison Park pale kileleni.
Hasa keitaHivi OX na KEITA tutawajadili saa ngapi?
Coz nikiangalia Mshahara wanaokula na kile wanachodeliver kama haviendani!!!
Ni bora tu waende sehemu nyengine wakajatibu bahati zao.
As long ww hutoi hata pesa ya kadi ya uanachama kausha tu hayo mengine mwachie Bwana HenryRobbo thamani yake kwasasa haipungui £70, sisi tulimnunua kwa £8M, kwa kipindi yulichomnunua to ngeliuziwa kwa £30 tu basi angelikuwa Overpriced.
Same kwa Jota Mimi mpaka sasahivi bado nashikilia kauli yangu kuwa tumeuziwa Overpriced.
Hii nimeichukua Bei + Jina + Dakika alizokuwa anacheza + Alichokuwa anadeliver.
Mchezaji hapimwi bei kwa Timu aliyopo sasa, bali anapimwa kwa kule alikotoka, Kuna kitu ufahamu kuwa Jota hakuwa Regular starters huko Wolves.
Ni sawa na wanaosema Salah, Robbo, Mane, VVD walikuwa ni Bargain! Hapana haikuwa Bargain! Kwa Aina ya wachezaji tuliowanunua haikuwa Bargain bali ni bei walizostahili kulingana na Status zao za wakati huo.
Tingeuziwa Salah kwa £60M angelikuwa ni Overpriced.
Tusiangalie Mchezaji aliyevaa Jezi ya Liverpool, Bali angalia mchezaji akiwa amevaa Jezi ya Timu aliyotoka.
Klop anatengeneza Jota yes, Lakini haitoongeza thamani ya alikotoka bali itamuongezea thamani ya alipo sasa.
Kama tunaangalia mchezaji anachokifanya ndani ya Liverpool kwani tingeuziwa Mane kwa £35M ????
Sina uhakika kama nimeelezea Vizuri
Sikujui personally ila 90% ya vitu unavyoongea ni negative toward the team or a certain player ........that's show how negative you are in your lifeHivi OX na KEITA tutawajadili saa ngapi?
Coz nikiangalia Mshahara wanaokula na kile wanachodeliver kama haviendani!!!
Ni bora tu waende sehemu nyengine wakajatibu bahati zao.
😄😄😄😃 Hakuna cha Negative wala Positive hapo,Sikujui personally ila 90% ya vitu unavyoongea negative toward the team or a certain player ........that's show how negative you are in your life
Hv kama tunaongoza ligi na tunalalama hv ilikuwaje
kipindi kile tunachezea vichapo enz zile????
So baada ya Ox na keita
kuondoka nan afuate kuondoka firmino au
minamino ??au alcantara kwa sababu tumepigwa
anashinda hospital tu yule???au wijnaldum kwa
sababu anaperfom akijisikia???au Henderson
kwa sababu anabebwa na uingereza wake??au gomez
maana anazinguaga sana pale nyuma??au mane na
salah maana ni wachoyo sana??au klop maana ana
kiburi sana hasikiliz watu wakimwambia sajili yy hatak???
"Stay away from negative
people they have probem for every solution"-einsten
akiuzwa unakuta haumii tena. kama alivyokuwa lallana sasa hivi kila mechi anacheza. ila kuna muda inatia hasira sana. keita tumemsubiria msimu mzima jezi ijavaliwa na mtu kwa ajiri yake ,anakuja muda mwingi anakuwa kaumia kuliko kucheza.😄😄😄😃 Hakuna cha Negative wala Positive hapo,
Keita ni project failure ambayo iko wazi Tangu amesajiliwa huyu jamaa hajawahi kufanya kitu chochote kile cha maana kwa Liverpool Na kinachokera zaidi ni yeye kuvaa jezi 8 huku uwezo hana........NB Nilichogundua Keita ana umri mkubwa tofauti na umri tunaoujua sisi Keita ni Mzee Keita ni wakuuza tu.