Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unavyosema hataweza unatumia hoja gani haswa? Na mbona hivi sasa tayari keshawekwa benchi?

Jota mpaka sasa tunapoongea, kafunga magoli saba (07).

Kwenye ligi tu kati ya appearance tano ambazo kati yake kaingia sub mara tatu, tayari ana goli 3.

Kwenye UEFA mechi tatu goli 4!

Serious? Awekwe benchi na Bobby ambaye mpaka sasa ameanza na kucheza mechi saba za EPL akiwa na goli 1. UEFA mechi tatu hamna goli hata moja?
Ustumie nguvu nyingi kubishana na wajinga mi nkishaonaga mtu ni mpumbavu sijibishani Kuna fan mmoja kantafta tsup kinaanza kujitetea about Jota nmeki blue tick tu
 
Bobby's glory days are over at Liverpool, akitaka kurudisha game yake ni kuhama akatafute changamoto nyingine.

Jota ameshachukua namba, na nina uhakika it is for good.

Just imagine, mbele kuna Jota/Salah/Mane: katikati kuna Thiago/Henderson mpya/Wijnaldum au Keita: nyuma kuna Fabinho/Robbo/Gomez/ Anorld.

Hapo tunayeongea naye lugha moja ni Bayern tu, hawa wengine wakatafute size yao, sisi siyo size yao.
Moto .... Utawaka

Ona touches za Jota leo

Bobby asingefunga believe me
 
Inapendeza sana kuona timu ikishinda goli nyingi sana away na kwa performance kubwa sana tena nzuri, huku tukitaraji kuwafuata city hapo Jumapili, sasa akili na target zetu ni kushinda game ya Jumapili dhidi ya city. Ahsanteni sana vijana kwakweli mnaipambania vizuri sana timu
 
. Naomba nisikuvunjie heshima kilichotumika leo li game plan siyo kwamba Boby kawekwa bench na jota kumbuka Atlanta Ni timu ya aina gani mkuu inahitaji uwe na Nini kupambana nao maybe Boby asifunge msimu mzima Ila cku Boby akifunga wataopata shida Ni kina Gini mkuu

Chakuongezea nadhani sote tu mashabiki wa Liverpool tutaona tuyaache hayo
Siku hizi macho yangu yana matege?
Afunge Firminho shida apate Gini?
HOW
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom