Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uko serious mkuu?

kwa timu gani mliyonayo hadi ujipe matumaini ya kubeba ndoo msimu huu?

hata hivyo sio mbaya kujipa matumaini....
Yani wewe una macho ya kuona lakini huoni😂😂😂
Kila anayekutana na Chelsea kwa sasa anakufa 4,3,5 ..una Ziyech, Werner, Mendy, Silva ..hahaha unataka nini tena😂😂😂

Chelsea 4-1Shelfed United

Ila leo nimeumia sana Mendy kukosa Clean Sheet🤥🤥🤥
 
Mechi ya juzi na Atalanta niliwaona Matip na Keita benchi, vipi uenda leo Matip tukawa naye pale nyuma au bado tia maji tia maji?
 
Yani wewe una macho ya kuona lakini huoni
Kila anayekutana na Chelsea kwa sasa anakufa 4,3,5 ..una Ziyech, Werner, Mendy, Silva ..hahaha unataka nini tena

Chelsea 4-1Shelfed United

Ila leo nimeumia sana Mendy kukosa Clean Sheet
Matatizo ya manure, Cheltako na aseno bado ni yale yale na ni makubwa sana, hizi timu wanaweza kushinda mechi hata 5 au 7 mfufululizo lakini baadae wanachezea vipigo hata vitatu vinne mfufululizo bila kujalisha wako nyumbani au ugenini, hizi timu zina matatizo makubwa sana zaidi uwazavyo wewe
 
Unaongelea Chelsea ya msimu upi wewe takataka?? Ondoa Chelsea kwenye list ya hizo takataka..

#CFC 💙💙💙
 
. Mkuu unataka kusema Chelsea ya msimu huu haijafungwa? Au unavyojilia madogo unapata jeuri
Tangu tumefungwa na Spurs Qarabao tena kwa penati ..hatujapoteza game yeyote ile zaid tumetoka draw game kadhaa na kushinda nyingine zote.
 
Leo Man City tuna jambo letu..
Golini tuna shati pale Allison, Sterling ana goal za kutosha.
Beki tuna Gomez mguu mmoja bila VVD anachechemea uchochoro ule pale tuna uhakika.😂😂😂
Kiungo Fabihno epl ishaanza kumshinda, huyu Alcantara baiskeli ya barafu mbele ndo kabisa kuna uozo ..Salah, Firmino washakuwa butu, Mane na Jota tunawakabidhi kwa Mendy mpira goli tatu liverpool moja ..tunaenda kulala 🤣🤣

Leo tuko na wanangu Man city ..kama Aston alijipigia bao Saba sisi City tushindwe?

Piga mbuzi hawaaa 💪💪💪
 
😔😔😔
 
. Mkuu unataka kusema Chelsea ya msimu huu haijafungwa? Au unavyojilia madogo unapata jeuri
Chelsea league kafungwa mechi ngpi kwenye league ;
Hazijafika izo mechi ulizosema wewe Chelsea wanaimprove ,timu ndogo izoizo ndo zipo nyingi kwenye league unataka uzifunge timu kubwa tu ambzo ni chche

Timu ndogo ndo za kuzifunga sana ili ukusanye point nying
 
sawa ila kumbuka nimekugonga
 
Leo Man City tuna jambo letu..
Golini tuna shati pale Allison, Sterling ana goal za kutosha.
Beki tuna Gomez mguu mmoja bila VVD anachechemea uchochoro ule pale tuna uhakika.
Kiungo Fabihno epl ishaanza kumshinda, huyu Alcantara baiskeli ya barafu mbele ndo kabisa kuna uozo ..Salah, Firmino washakuwa butu, Mane na Jota tunawakabidhi kwa Mendy mpira goli tatu liverpool moja ..tunaenda kulala

Leo tuko na wanangu Man city ..kama Aston alijipigia bao Saba sisi City tushindwe?

Piga mbuzi hawaaa

Daaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom