Jota anamsukumia benchi mtu fulani Mdogo mdogo yaani View attachment 1619016



Pole mkuuDaa! Yaani nipo hospital namuuguza bi mkubwa. Na chungulia lives ore naona jotaa anazidi kunipa tabasamu katikati ya huzuni.
Anyway Mungu naomba mponye mama.
YNWA
Aaa sana tena sanaKwa Jota, Firmino benchi limhusu tu.

Tunamuombea mama , atapona mkuu,Daa! Yaani nipo hospital namuuguza bi mkubwa. Na chungulia lives ore naona jotaa anazidi kunipa tabasamu katikati ya huzuni.
Anyway Mungu naomba mponye mama.
YNWA
Yes. Gini ni workhorse mzee. Naona Jones anazidi ku-mature.Aaa sana tena sana
Mkuu GINI pia asiuzwe aise jamaa anapiga kazi sana Barca wasitulaghai
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina mkuu. YNWA.Daa! Yaani nipo hospital namuuguza bi mkubwa. Na chungulia lives ore naona jotaa anazidi kunipa tabasamu katikati ya huzuni.
Anyway Mungu naomba mponye mama.
YNWA
Mzuri sana sema kifua bado hakijabeba magogo mengi maana anashindwaga kumaliza dakika 90 kwa kasi ile ile anayoanza nayo.Yes. Gini ni workhorse mzee. Naona Jones anazidi ku-mature.