dexterous ningependa uzingatie maneno yote yanayoandikwa katika post.
Nadhani uliikusudia hii post yangu kuwa nilisema 'Jota ni failed Project'.
Hebu angalia hayo maneno niliyopigia Mstari.
Hilo neno Concern sikulitumia tu, bali lina maana.
Unhelihitaji ufafanuzi siku niliyoweka Post basi ningelikuwa ufafanuzi.
Ungelisema "KUNA MTU ALIONESHA CONCERN KUWA JOTA NI FAILED PROJECT" basi ingelikuwa umenitendea haki! Lakini kwa kusema "KUNA MTU ALISEMA JOTA NI FAILED PROJECT" basi hapa hujanitendea haki ndugu.
KWANINI NILIONESHA CONCERN?
Mpaka muda huu bado nina Concern hiyo kuwa Jota ni Failed project! Reason.
Wasiwasi wangu JOTA hata ajitahidi kiasi gani huenda Klopp asimuanzishe kama Regular starter akaishia kugaiwa hizo Dakika 20 za mwisho tu! Hapo hapana ujanja lazima atafail tu (Na hiyo ndiyo Failed Project) na Mwisho atataka kuondoka.
Huyu kamwe hatopangwa mbele ya Front 3 yetu, kwanini nisioneshe Concern ya kufail?
Mtazame Shakiri, unadhani Shakiri hakuwa na uwezo hata wa kutokea Benchi? Lakini Klopp alimpoteza mpaka tunamuona sikuhizi kwasababu ya Injury zilizotukumba na kuondoka kina Lallana, Breswter na Ings huku Origi akionesha kutokuaminiwa. Hapo ndiyo Shakiri akawa Failed Project.
Kwahiyo sio peke yangu tu, Watu wengi wameonesha wasiwasi huo wa Jota kuwa failed project kwasababu ya hizo Dakika 20 anazopewa.
Keita Kawa Failed Project kwa sababu ya Injury na si Uwezo.
Hivyo kufeli sio lazima Mchezaji afeli kwa uwezo, zipo sababu nje ya uwezo kama huyo Keita, OX na nikazihisi kwa Jota.
Kama kuna swali niulize.
Mbona mkuu kaelewesha vizuri tu hoja yake!!! Hilo sasa ni swala lengine unaweza kumuomba akuelezeeSijui unaongea nini mkuu, ishu sio regular starter ishu ni kwa namna mchezaji anavyoweza kudeliver.
Game ilikuwa nzuri ingawa tulionesha baadhi ya makosa ya kiulinzi hasa beki za kati.
Kwasasa Gomez ndiye Leader wa Defence line alitakiwa kuongoza vizuri Madefenders wetu wote huku akimcoach kwa karibu amateur wetu Nathan Phillips.
Lakini yeye ndiye aliyekuwa anaongoza kwa errors kiasi ya kwamba hata huyu Phillips alikuwa makini.
Na pia Mido inahitaji iongeze umakini kidogo kwenye kulinda kwa sababu kipindi hicho to be honest Hendo anacheza vizuri sana hutaka nimuangalie tu akiwa na mpira, kama misimu mitatu iliyopita angelikuwa anacheza kama anavyocheza msimu huu basi hata mwanangu ningemuita Henderson na Mimi ningevaa Jezi iliyoandikwa Henderson lakini hakufanya hivyo.
Kwahiyo Hendo jana alicheza DM lakini muda mwingi amekuwa akipanda juu kushambulia nadhani imechangiwa na kuona kwenye ushambuliaji hakuna kinachofanyika.
Hivyo sehemu ya ulinzi kwenye Mido wakati mwengine ikawa ipo wazi.
Lakini kiujumla tulicheza Vizuri isipokuwa athari ya injuries ilionekana wazi.
King Ngwaba amekuwa fair sana kumfafanulia jamaa kwa kina, nimeshangaa comment ya huyo mwana, anyway, tunauelewa tofauti,.ngoja na yule tajiri aje amkosoe uone motoMbona mkuu kaelewesha vizuri tu hoja yake!!! Hilo sasa ni swala lengine unaweza kumuomba akuelezee

King Ngwaba amekuwa fair sana kumfafanulia jamaa kwa kina, nimeshangaa comment ya huyo mwana, anyway, tunauelewa tofauti,.ngoja na yule tajiri aje amkosoe uone moto![]()

King Ngwaba amekuwa fair sana kumfafanulia jamaa kwa kina, nimeshangaa comment ya huyo mwana, anyway, tunauelewa tofauti,.ngoja na yule tajiri aje amkosoe uone moto![]()
Jana Money kapoteza mipira mingi sana pale mbele
Yes, injuries imekuwa ni shida. Hata hivyo timu ilicheza kama mabingwa watetezi.
Tatizo langu kubwa ni kwa Firmino (ameisha), nikisema amechoka nitakuwa sijitendei haki, ameisha.
Salah na Mane waangalie jinsi wanavyoweza kucheza kama timu na siyo kama individuals. Wamekuwa hawapeani pasi au kumpa mwingine pasi haiwi ile ya kumalizia.
Thiago akipona, na kocha akaamua kucheza Fabinho nyuma; viungo Thiago, Hendo na Wijnaldum; mbele Jota, Salah na Mane, hakuna timu inaweza kutusumbua kwenye kutafuta ubingwa. Kama majeruhi yasipoongezeka.
Yaani tukishashinda tu tunaomba mpira uishe haraka kwasababu ya ulinzi,.maana mnaweza kuchezewa counter attack moja matata hata dakika ya 94 mkatoka suluhuIla hizi gemu za siku hizi tunaomba na mpira uishe, maana point tatu za tabu kweli.
Jana baada ya game niliingia website ya BBC, Match of The Day.
Kuna polls nadhani ilifanywa na BBC wenyewe kwa mashabiki wa Liverpool kuhusu Jota kuwa starter nafasi ya Bobby.
Around 5,000 wanataka Jota aanze, na ni 1,000 pekee wanaotaka aendelee kuanzia benchi.
Ninachokiona hapa kelele za mashabiki zinaweza kulipa, Klopp akafanya mabadiliko.
Pia interview ya Klopp (post match) alisema, "He's much better than I thought he would be and that's really impressive,"
"He's an exceptional talent. He has the speed, physicality, technique, and he's both-footed."
Hii ni indicator ya Klopp kuanza kumwelewa Jota na ikibidi afanye jambo nafasi ya Bobby.
La sivyo ni mpaka tupoteze poteze mechi kadhaa ndo mabadiliko yafanyike kama ilovyokuwa kwa Fabinho na Hendo (kumchezesha Hendo namba 6 kulitucost ubingwa msimu ule).
Yaani tukishashinda tu tunaomba mpira uishe haraka kwasababu ya ulinzi,.maana mnaweza kuchezewa counter attack moja matata hata dakika ya 94 mkatoka suluhu
Hii Timu ikitengenea kwenye Ulinzi tu basi tunabeba tena EPL, na akipona Fabinho na Thiago tu basi ninaimani tunawezaje kubeba na UCL.
Kikosi changu cha Msimu huu.
MANE - JOTA - SALAH
THIAGO - FABINHO - HENDO
ROBBO - MATIP - GOMEZ - TAA
ALISSON
Salah ulimuonaje mkuu,amekua na touches za kijinga sana siku hizi utulivu umepotea kabisaJana Money kapoteza mipira mingi sana pale mbele
Naunga mkonoYes, injuries imekuwa ni shida. Hata hivyo timu ilicheza kama mabingwa watetezi.
Tatizo langu kubwa ni kwa Firmino (ameisha), nikisema amechoka nitakuwa sijitendei haki, ameisha.
Salah na Mane waangalie jinsi wanavyoweza kucheza kama timu na siyo kama individuals. Wamekuwa hawapeani pasi au kumpa mwingine pasi haiwi ile ya kumalizia.
Thiago akipona, na kocha akaamua kucheza Fabinho nyuma; viungo Thiago, Hendo na Wijnaldum; mbele Jota, Salah na Mane, hakuna timu inaweza kutusumbua kwenye kutafuta ubingwa. Kama majeruhi yasipoongezeka.
Salah ulimuonaje mkuu,amekua na touches za kijinga sana siku hizi utulivu umepotea kabisa
Sawa mkuu nimekuelewa. Ila kwa wakati huu ambao front 3 yetu inaonyesha kusuasua klopp hana budi kuwatumia, Hivyo swala la kupata nafasi sina mashaka nalo na ndo maana unaona anajaribu kutengeneza mfumo utakao wawezesha Jota/Shaqiri wote kucheza.dexterous ningependa uzingatie maneno yote yanayoandikwa katika post.
Nadhani uliikusudia hii post yangu kuwa nilisema 'Jota ni failed Project'.
Hebu angalia hayo maneno niliyopigia Mstari.
Hilo neno Concern sikulitumia tu, bali lina maana.
Unhelihitaji ufafanuzi siku niliyoweka Post basi ningelikuwa ufafanuzi.
Ungelisema "KUNA MTU ALIONESHA CONCERN KUWA JOTA NI FAILED PROJECT" basi ingelikuwa umenitendea haki! Lakini kwa kusema "KUNA MTU ALISEMA JOTA NI FAILED PROJECT" basi hapa hujanitendea haki ndugu.
KWANINI NILIONESHA CONCERN?
Mpaka muda huu bado nina Concern hiyo kuwa Jota ni Failed project! Reason.
Wasiwasi wangu JOTA hata ajitahidi kiasi gani huenda Klopp asimuanzishe kama Regular starter akaishia kugaiwa hizo Dakika 20 za mwisho tu! Hapo hapana ujanja lazima atafail tu (Na hiyo ndiyo Failed Project) na Mwisho atataka kuondoka.
Huyu kamwe hatopangwa mbele ya Front 3 yetu, kwanini nisioneshe Concern ya kufail?
Mtazame Shakiri, unadhani Shakiri hakuwa na uwezo hata wa kutokea Benchi? Lakini Klopp alimpoteza mpaka tunamuona sikuhizi kwasababu ya Injury zilizotukumba na kuondoka kina Lallana, Breswter na Ings huku Origi akionesha kutokuaminiwa. Hapo ndiyo Shakiri akawa Failed Project.
Kwahiyo sio peke yangu tu, Watu wengi wameonesha wasiwasi huo wa Jota kuwa failed project kwasababu ya hizo Dakika 20 anazopewa.
Keita Kawa Failed Project kwa sababu ya Injury na si Uwezo.
Hivyo kufeli sio lazima Mchezaji afeli kwa uwezo, zipo sababu nje ya uwezo kama huyo Keita, OX na nikazihisi kwa Jota.
Kama kuna swali niulize.
Sana pass hata VPN haifai, nahati mbaya Shakir hapati sifa anazostahili anafaa sana hasa tukicheza na team wanao defend deep anauwezo wa pass fupi maeneo tight inaweza kuwa baadhi ya mechi asifit kama mnakumbuka mechi na Barca kwa style ile ya mpira wa chini anaweza sana kupenyeza mipira maeneo yake. Huyu sio wa kumuuza atatufaa sana.Hiyo pasi na hilo goli vinatosha kuturudishia internet.