Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
I love Liverpool
Yes. Shaq na Jota wametupa tulichohitaji.Ila Bobby naona kachemka sana leo. Aingie Jota au Shaqiri tumalize kazi
Kuna mtu huku kwenye jukwaa hamuamini anadai ni failed projectDah ... this man called Jota is a real gem!
Huwa napatwa na amani sana nikimuona ndani. Haswa wakichezeshwa wote wanne!
The man amefit ndani ya system very fast.



hilo swala la injury kwa wachezaji wetu nitatizo sana,wachezaji mechi moja tu wanaumia wanakaa mwezi mzima.We need to play kwa discipline kuepuka any new injury
what a pass !,what a goal !2nd goal. JotaView attachment 1616790
Kuna mtu huku kwenye jukwaa hamuamini anadai ni failed project
what a pass !,what a goal !
Nipe mda kidogoUnaweza kutuonesha hiyo post?
"Jota is overpriced" they said.![]()
Keita ni Failed project 💯%
My Concern ya failed project pia ipo kwa Diago Jota, just ni Concern tu.
dexterous ningependa uzingatie maneno yote yanayoandikwa katika post.
Nadhani uliikusudia hii post yangu kuwa nilisema 'Jota ni failed Project'.
Hebu angalia hayo maneno niliyopigia Mstari.
Hilo neno Concern sikulitumia tu, bali lina maana.
Unhelihitaji ufafanuzi siku niliyoweka Post basi ningelikuwa ufafanuzi.
Ungelisema "KUNA MTU ALIONESHA CONCERN KUWA JOTA NI FAILED PROJECT" basi ingelikuwa umenitendea haki! Lakini kwa kusema "KUNA MTU ALISEMA JOTA NI FAILED PROJECT" basi hapa hujanitendea haki ndugu.
KWANINI NILIONESHA CONCERN?
Mpaka muda huu bado nina Concern hiyo kuwa Jota ni Failed project! Reason.
Wasiwasi wangu JOTA hata ajitahidi kiasi gani huenda Klopp asimuanzishe kama Regular starter akaishia kugaiwa hizo Dakika 20 za mwisho tu! Hapo hapana ujanja lazima atafail tu (Na hiyo ndiyo Failed Project) na Mwisho atataka kuondoka.
Huyu kamwe hatopangwa mbele ya Front 3 yetu, kwanini nisioneshe Concern ya kufail?
Mtazame Shakiri, unadhani Shakiri hakuwa na uwezo hata wa kutokea Benchi? Lakini Klopp alimpoteza mpaka tunamuona sikuhizi kwasababu ya Injury zilizotukumba na kuondoka kina Lallana, Breswter na Ings huku Origi akionesha kutokuaminiwa. Hapo ndiyo Shakiri akawa Failed Project.
Kwahiyo sio peke yangu tu, Watu wengi wameonesha wasiwasi huo wa Jota kuwa failed project kwasababu ya hizo Dakika 20 anazopewa.
Keita Kawa Failed Project kwa sababu ya Injury na si Uwezo.
Hivyo kufeli sio lazima Mchezaji afeli kwa uwezo, zipo sababu nje ya uwezo kama huyo Keita, OX na nikazihisi kwa Jota.
Kama kuna swali niulize.
Sikuangalia game, hongereni kwa ushindi na kazi imekuwa nzuri sana, kuwafunga Westharm si kazi nyepesi hususa ni kipindi hiki kigumu tulichopo kwa sasa
Sijui unaongea nini mkuu, ishu sio regular starter ishu ni kwa namna mchezaji anavyoweza kudeliver.
HakikaJota should be a starter, tunahitaji service yake kwa muda mrefu na si kwa dakika 20.