Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
HT:
Liverpool 1 - 1 West Ham
Liverpool 1 - 1 West Ham
Kijana yupo vizuri sana ila akichezaga muda mrefu huwa anachoka naona kuna muda.Jones ameshaanza kuwa matured
Tutaua hao paka waje hata keshoVs Man City gonna be a tough game




Salah bhana hakikosagi penati1st goal. SalahView attachment 1616734
Salah bhana hakikosagi penati
Siku hizi loohMwanzo mwanzo kuja Liverpool alikuwa anazikosaga sana tu
Kweli kabisa. Kama tumepaniwa vileHivi alivyochezewa Mane ikitokea golini kwetu tutapigiwa Penalty
Jota mtu kwa kweliIla kiukweli Huyu Jota Ni Mtamu Jamani
Ni Mtamu.