Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

😄😄😄😃 Hakuna cha Negative wala Positive hapo,
Keita ni project failure ambayo iko wazi Tangu amesajiliwa huyu jamaa hajawahi kufanya kitu chochote kile cha maana kwa Liverpool Na kinachokera zaidi ni yeye kuvaa jezi 8 huku uwezo hana........NB Nilichogundua Keita ana umri mkubwa tofauti na umri tunaoujua sisi Keita ni Mzee Keita ni wakuuza tu.
. Kabla hujaanza kuongea Sana jiulize mwenyewe je anapewa mda wakutosha kucheza? Utamuonea wakati anacheza dk20 unataka aonyeshe Nini Sasa tatizo lipo kwa Klop anazingua Vibaya
 
Game ilikuwa nzuri ingawa tulionesha baadhi ya makosa ya kiulinzi hasa beki za kati.

Kwasasa Gomez ndiye Leader wa Defence line alitakiwa kuongoza vizuri Madefenders wetu wote huku akimcoach kwa karibu amateur wetu Nathan Phillips.

Lakini yeye ndiye aliyekuwa anaongoza kwa errors kiasi ya kwamba hata huyu Phillips alikuwa makini.

Na pia Mido inahitaji iongeze umakini kidogo kwenye kulinda kwa sababu kipindi hicho to be honest Hendo anacheza vizuri sana hutaka nimuangalie tu akiwa na mpira, kama misimu mitatu iliyopita angelikuwa anacheza kama anavyocheza msimu huu basi hata mwanangu ningemuita Henderson na Mimi ningevaa Jezi iliyoandikwa Henderson lakini hakufanya hivyo.

Kwahiyo Hendo jana alicheza DM lakini muda mwingi amekuwa akipanda juu kushambulia nadhani imechangiwa na kuona kwenye ushambuliaji hakuna kinachofanyika.

Hivyo sehemu ya ulinzi kwenye Mido wakati mwengine ikawa ipo wazi.

Lakini kiujumla tulicheza Vizuri isipokuwa athari ya injuries ilionekana wazi.
Washambuliaji siku hizi wanawahi lile eneo la kufungia tamaa zimewazidi mpaka wanapeana pasi za kususa.

Wanasahau kuitumikia tim mafanikio yangewafata.

Kopp ache kupanga majina sasa apange wachezaji
 
Sana pass hata VPN haifai, nahati mbaya Shakir hapati sifa anazostahili anafaa sana hasa tukicheza na team wanao defend deep anauwezo wa pass fupi maeneo tight inaweza kuwa baadhi ya mechi asifit kama mnakumbuka mechi na Barca kwa style ile ya mpira wa chini anaweza sana kupenyeza mipira maeneo yake. Huyu sio wa kumuuza atatufaa sana.
Huyu nae kero yake majeruhi habaki uwanjani kwa mda mlefu ni mtam sana na makusudio yake yanaonekana

Apewe dakika 30 za Salah sio kumpanga kati mana naona hua analazimishwa kati kuhofia front 3
 
Kwa sababu anawaza afunge tu mpaka anapaniki
hilo ndio tatizo,ndio maana kunamsimu tulikosa ubingwa unakuta hayuko kwenye nafasi nzuri ila anarazimisha kufunga ili awemfungaji bora .msimu uliopita tulikubaliana kwamba waachane na ufungaji bora tuchue kwanza ubingwa sasa ubingwa tumechukua ,sasa hivi anatafuta kiatu kumbadilisha mawazo kazi sana.
 
Huyu nae kero yake majeruhi habaki uwanjani kwa mda mlefu ni mtam sana na makusudio yake yanaonekana

Apewe dakika 30 za Salah sio kumpanga kati mana naona hua analazimishwa kati kuhofia front 3
mkuu hapo kwenye kumpanga hizo dak 30, salah ataanza kukasilika maana hiyo front 3 hapo labda firmino ukimtoa ndio anakuwa mpole,na kingine hiyo front 3 au salah, sio muda wote wanafanya vibaya kuna mechi nyingine huwezi kuwatoa au kumtoa salah mashabiki tutakuwa tunashangaa .
kuna msimu salah alikuwa anatolewa akitolewa tu magoli yanaanza kurudi watu tunaanza kumlaumu klopp anamtoaje salah wakati salah ndio tishio.
 
Minamino basi tena juzi kajimaliza na mwenzake Origi team imewazidi ukubwa waende kunapo wafaa
Bora minamino huyo ananjaa ya mafanikio,origi ameshalizika. baada ya kumuongezea mkataba tu ajitumi tena maana hakuna cha kumfanya na mshahara tunamlipa, akicheza asipo cheza yeye sawa tu.

kipindi kile mkataba unakalibia kuisha ilikuwa karibia kila mechi lazima afunge na unamuona kabisa anapambana.
 
Minamino basi tena juzi kajimaliza na mwenzake Origi team imewazidi ukubwa waende kunapo wafaa
. Hao mi naona Ni Klop ndo anazingua akiwapa mda machali wataonyesha uwezo Mzuri kwelikweli Origi Ni Mzuri kwenye umaliziaji Minamino Ni Mzuri kwa kupandisha mashambulizi na ufungaji tatizo lipo kwa Klop Mtu Kama Shakiri jamaa Ni hatari Sana lkn Klop anawaamini Hendo na Babu Milner Hawa wajumbe hada milner aondoke kwa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom