Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kmnina kwan shda ni nini au mwsho wa hili li earth nini ..mana mimi nimekojolewa mara sita..wenzangu nyie mara saba..
 
IMG-20201004-WA0039.jpg
 
Wakuu wa loser fools poleni, ndio EPL hiyo! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Leo ni kutwanga kote kote,ukitoka hapa unahamia uzi wa Manyumbu kuwakera
 
Lakini huyu Allison mbona amekuwa mtu wa kuumia mara kwa mara nini shida, anatuzingua sasa. Ila mane ndie roho ya timu kwasasa ukweli ndio huo.
Sadio Mane ndio mkombozi pekee wa LFC nakumbuka kuna wakati alirudi Africa kwenye mashindano tulipoteza na kutoa draw mechi zote 6 mpaka aliporudi
 
My heart hurts so much

But I love this team so much

My love for this team is unexplainable

A deep love that even thousand page will fail to explain

YNWA
 
Mkuu tatizo adrian uwezo udogo haiwezekani kila wakilenga goli unashindwa kudaka unabaki unaangalia mpira unaingia golini.

Allison anatakiwa awepo golini hapo,hata Aston Villa wasingekuwa wana piga mashuti hivyo maana wanajua golini yupo nani.

Huyo adriani wanajua kabisa hakuna golikipa hapo ni mwendo wa kulenga goli tu kitu imo.
Lkn c aliwapa supa ☕
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom