Siwezi kubisha sana kwa maana hata mechi yenyewe sijaangalia ndo maana nikasema yeye akubali kuwa amefungwa 7 uzembe na mpira ni game la makosaMkuu kama umeangalia mpira liverpool hajazidiwa hata kidogo muda wote liverpool ndio wenye mpira,ball possession Liverpool 69 kwa 31.
Tatizo lilikuwa kwa goli kipa maana kila shuti wakilenga goli ni goli.
Ndio maana jamaa anasema hivyo yaani unafungwa halafu mpira unacheza wewe.
Kuna mechi unafungwa halafu unazidiwa lakini hiyo mechi imekuwa tofauti kumefungwa lakini muda mwingi mpira wanamiliki liverpool,ndio maana mashabiki wa liverpool walikuwa wanaamini watarudisha maana liverpool wanafika goli kwa Aston villa vizuri tu.
Nenda kapime U.T.ITumecheza vizuri hilo halina ubishi! Hata ukiangalia ushindi wa Aston Villa basi wameshinda kwa Tabu sana.
Hahahahahahahahahaha nilikwambia utulie darajani hahahahHahaha hii ni aibu Ollachuga Oc niaje mwana wa AV πππ
Ukizipata basi weka za mechi yao tu hizi goli saba
Sisi kule Manchester United zile goli 6 jifanye hujazipata π€£
Hahahaha wameniwakilisha vyemaπππππππYaani umeshindwa wewe unawatumaAston Villa? Huko ni kufilisika na kukata tamaa.
Ukizipata basi weka za mechi yao tu hizi goli saba
Sisi kule Manchester United zile goli 6 jifanye hujazipata π€£
Yani huyu tokea aokotwe mtaani na kupewa Jezi ya Liverpool nimekuwa nikikosoa usajili wake na kusema bora Karius kuliko huyu! Lakini amekuwa akipatiwa utetezi wa Guinness World Records World Record kuwa ametupa Super Cup.
I feel sorry for you mummy by being heavily defeated 1-6 by Tottenham Hotspurs coz you are always fulfilled with discretion behavior when analyzing or commenting on other football threads like Chelsea thread site.Mmmh mie Man U. Leo hatuchekani na Liver humiliation juu ya humiliation
Huyu Allison naye ni kitobo tu ..mchukueni Kepa mapema ohooπππ[emoji23] mkuu bora karius,
Na bora sasa tunaenda kwenye break mpaka tarehe 17,Alison arudi bila hivyo msimu huu tutapoteza point nyingi sana kwa sababu ya huyu jamaa.
Hana uwezo wa kuwa kipa wa liverpool kwa sasa .
Tumelikalishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahahahahahahahahahahaAston Villa japo tumemuuza Samata ila tuna jambo letu leo..
Sisi kama Aston Villa kuna jitu leo tunalikalisha.
#AVnguvumojaπͺπͺπͺ
Aroo, noma sana leo.
Kina Arsenal na Chelsea leo wako na popcorn wanacheka tu
GIF za magoli huwa naweka uzi husika mfano GIF za spurs nimeweka uzi wa spurs angalia humu jukwaan utauona(goli zote sita)
Villa hawana uzi serious humu,goli saba uwiii mb zangu zitaisha.