SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Tumelamba dume hapa mzee!
Tumelamba dume hapa mzee!
Mi nilivyoona kitendo cha Klopp kumtoa Mane nilihisi tu dogo atakuwa yupo vizuri ingawaje sikuwahi kuangalia game zake.
Hahahahahahaha hebu kuja hapa ujisome tenaLiver mtaliwa Leo !!! Mark my words
Vile vinyamkera vilivyokuwa vinasumbua hapa jamvini naona vimeenda kunya vilaleWayaaaaaaaaaaaaa ⚽
Liverpool 3 - 1 Arsenal
87' Minutes
Mkuu haya ni manati sio mtutu! Kuna kufungwa halafu kuna kudhalilika. Leo tumedhalilika.Wana mitutu wa Jiji poleni sana..
Pointi 9 murwa kabisa..
Septemba imeisha vyema..
Gemu 3 vs Leeds, vs Chelsea na vs Arsenal kupata pointi 9 sio haba..
Hongera sana kwa vijana..
EPL Hakika inarejea nyumbani tena..
YNWA
Huwezi waona tenaVile vinyamkera vilivyokuwa vinasumbua hapa jamvini naona vimeenda kunya vilale
Wewe ni mtu muhimu sana kwenye jukwaa la michezo, hususani soka.
Blessings kwako!
Kelele zenu ni kwenye makombe ya mbuzi tu Utopolo ya LondonLiverpool! Liverpool! Liverpool!
Hii sio Arsenal ya UNAI,msitegemee kitonga,Tupo kamili gado tofauti na mnavyofikiriaa.
Mkuu haya ni manati sio mtutu! Kuna kufungwa halafu kuna kudhalilika. Leo tumedhalilika.