moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,509
- 776,383
[emoji23][emoji23]Kuwafunga hawa chini ya 4 imeniuma sana
[emoji23][emoji23]Kuwafunga hawa chini ya 4 imeniuma sana
Vile vinyamkera vilivyokuwa vinasumbua hapa jamvini naona vimeenda kunya vilale
Siku nyingine uje kwa heshima na adabu kwenye hili jukwaa la sivyo utadhalilika zaidi ya hapa.Mkuu haya ni manati sio mtutu! Kuna kufungwa halafu kuna kudhalilika. Leo tumedhalilika.
Achana nayo [emoji23][emoji23]Hii kenge tunaifanyaje wakuu
Uko sahihi kabisaKuwafunga hawa chini ya 4 imeniuma sana
Wasubiri FA na Ngao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu haya ni manati sio mtutu! Kuna kufungwa halafu kuna kudhalilika. Leo tumedhalilika.
Can we stop keeping the high line please?? Somebody tell klopp
Ni lzm mtu ajiite hivyo ndiyo niandike?Nafikiri uko pekee yako tu, kama kuna mtu anajiita kama wewe humu ndani sina hakika kabisa
Klopp ni mtaalam wa kufundisha soka,ww ni mtaalam wa kufundisha soka pia?Imagine Tunacheza highline against So wa spurs
Ile kitu Klopp aachane nayo bila
Sanaaa