Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Guardiola ni Chequebook Manager! Sasa Tajiri wake alipoona FSG hawavamii Soko kumwaga Mamilioni kila Msimu lakini Klopp anashinda Makombe, akaona nayeye kwa Man city Guardiola ataweza, Hivyo kuanzia Msimu uliopita na Msimu huu kaamua kupunguza Budget ya Usajili akiamini bila ya £300M alizozowea kumwagia Guardiola kila Msimu ataweza kufanikiwa! Ona sasa

Backbone ya Mafanikio ya Man City ilikuwa ni Watu hawa Wanne:-

1) Kompany
2) Fernandinho
3) KDB
4) Aguero

Sasa kabakia KDB peke yake ndiye mwenye uhai, sasa wale kina Rodri na Foden ndiyo ashinde EPL? Wana tofauti gani na kina Joginho na Kovacic?
Absolutely
 
Henderson sawa! Lakini nawewe huwezi kumfananisha Fabinho na takataka hizo.
Hakuna Timu kwasasa isiyotamani kuwa na mchezaji aina ya Fabinho, au umeshasahau alivyomfanya Werner aonekane kama Molinga?
Hakuna timu isiyotamani kuwa na Kovacic tena cha kushangaza zaidi the worst Jorginho akiwa kwenye flop Arsenal wanaonyesha interest kumuhitaji.
 
Hakuna timu isiyotamani kuwa na Kovacic tena cha kushangaza zaidi the worst Jorginho akiwa kwenye flop Arsenal wanaonyesha interest kumuhitaji.
Swap na Guendouzi, kwa hela hatuwezi sajili mchezaji kutoka Chelsea kama bure sawa.
 
Mkuu ni mapema sana kusema EPL msimu huu inakuja Anfield ndio kwanza tuko game week 3.

Weka akiba ya maneno.
Hahaha mkuu Southern Highland nakusoma vyema nashukuru pia kwa ushauri wako...

Toka ametua Klopp mipango ni nafasi ya kwanza tu na hakuna kingine japo tumeishia kuipata mara 1 tu 2019-2020..

Ukishabikia Liverpool tuna msemo wetu kutoka kwa gwiji Bill Shankly "1st is 1st second is nothing" hio ndio mind set yetu..

Na upo sahihi ligi bado ipo wazi mno kila timu ina nafasi ya kushinda EPL..

YNWA
 
Halafu Mashabiki wa Liverpool ni Wastaarabu sana hata hawajibizana na Wewe. Anyway ngoja hiyo J3 ifike maana iko hivi Mtoto wa Kiume huwa anasema yeye Mwanaume lakini Mwanaume yey Hutenda tu hana maneno. Wenger Arsene alishasema pale Anfield ule uwanja una roho.
Tena roho ya Billy Shankly
 
Hahaha mkuu Southern Highland nakusoma vyema nashukuru pia kwa ushauri wako...

Toka ametua Klopp mipango ni nafasi ya kwanza tu na hakuna kingine japo tumeishia kuipata mara 1 tu 2019-2020..

Ukishabikia Liverpool tuna msemo wetu kutoka kwa gwiji Bill Shankly "1st is 1st second is nothing" hio ndio mind set yetu..

Na upo sahihi ligi bado ipo wazi mno kila timu ina nafasi ya kushinda EPL..

YNWA
Mimi kiukweli msimu huu siwaoni mkinyanyua kwapa EPL. Labda makombe mengine
 
Liverpool! Liverpool! Liverpool!

Hii sio Arsenal ya UNAI,msitegemee kitonga,Tupo kamili gado tofauti na mnavyofikiriaa.
 
Leo ndio leo... KAZI YA MWANAUME HAPEWI MVULANA...

Yaani leo LiverPumbu nikimpiga chache ni 2-0

#COYG
#COYG

FT: Looser fools 1-3 Arsenal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom