Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Man City jana amebugizwa 5...... Sisi wala hatuna roho mbaya kiasi hiko. Tutapiga Liverpol bao 3 tu ili marehemu asidhalilike sana.

#COYG
#COYG
 
Hivi vitoto vya Arsenal vilivyo college sasa hivi vyuo vya kati vimefungwa viko likizo naona vimevamia uzi na kuongea ongea sana kila neno pasipo hata kuchuja
 
Adjustments.jpg
 
Arsenal forward line yao inaonekana bora kulinganisha na back line yetu. Any mistake tutaadhibiwa. Gomez amerudi kuchukua nafasi yake, dhidi ya Leeds yeye na kaka mkuu vvd walifanya makosa ya kizembe na kuruhusu magoli mawili.

Auba, Laca na Willian ni moja ya combo ninayoigopa kwa sasa pale epl. Wote ni wafungaji wazuri. Kukosekana kwa Alcatraza hata kwenye bench ni pigo kwetu.
 
Hope Klopp kamuelekeza jinsi ya kufuta baadhi ya errors

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tho siyo shabiki wa arsenal ila leo nipo upande arsenal kwa sharti moja tu.

Hawana effect mbele yetu hata wakituzidi point 20. Ila liver some how wakikuzidi unastrugle.
Aiyaa arsenal nawaomba mshinde mechi mkifungwa na liva msiongee chochote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom