Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,791
Half time Liver 2 Arsenane 1Full time:Liverpool 2 Arsenal 0.
Nani unampa nafasi ya kuchukua epl?Mimi kiukweli msimu huu siwaoni mkinyanyua kwapa EPL. Labda makombe mengine
Wasengerema nyie,pumbafu.wachezaji wenyewe hamna na kocha hamnaLeo ndio leo... KAZI YA MWANAUME HAPEWI MVULANA...
Yaani leo LiverPumbu nikimpiga chache ni 2-0
#COYG
#COYG
FT: Looser fools 1-3 Arsenal
Acha woga hao wanafunga kwao tuuuArsenal forward line yao inaonekana bora kulinganisha na back line yetu. Any mistake tutaadhibiwa. Gomez amerudi kuchukua nafasi yake, dhidi ya Leeds yeye na kaka mkuu vvd walifanya makosa ya kizembe na kuruhusu magoli mawili.
Auba, Laca na Willian ni moja ya combo ninayoigopa kwa sasa pale epl. Wote ni wafungaji wazuri. Kukosekana kwa Alcatraza hata kwenye bench ni pigo kwetu.
Hawa msako watakao sakwa sasa hivi si wa kawaida chakuomba hapa striker zangu ni kuongeza umakini tu kutupia hawa wanakufa nyingi sanaArteta tayari kuna kitu ameshakiotea kwa Klopp! Hivyo Klopp anapaswa kubadilisha approach kila anapokutana na Arteta.