OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Aya majogoo wa kisasa hamna kitu ..ni makuku ya nyama jana yamechinjwaKwaupande wangu nawaombea majogoo washinde game ya leo, kwasababu Arsenal wakishinda hatutalala.





Mkuu haya maneno ya kujipa moyo tu ila uhalisia ule ndio uwezo wetu kwa sasa.
Epl msimu huu bila kurekebisha pale katikati na forwad hata mmoja tutastraggle sanaa.
Halafu ile front three yetu kila baada ya msimu inaenda inapungua makali no doubt katika hili
Tangu lini hamjazoea kufungwa nyie si ni msimu uliopita na ule wa nyuma kidgo mmefnya vizuri![]()
For the future...Liverpool are reportedly set to complete the signing of young goalkeeper Marcelo Pitaluga from Fluminese. The club have made a swoop for the 17-year-old as they look to build for the future. Michael Edwards has spent plenty of cash on bolstering Liverpool's academy ranks since being appointed as sporting director.
Ni kusajili vitoto lol kazi ipo
YNWA
Unaumwa wewe si bure, nani aweweseke na vitu vya kijinga jinga hivyo?@Bengalisis nilikwambia ukipigwa na wale Arse8 utakuwa na wakati mgumu..apo ulipo najua unaweweseka sana![]()
Its a bit scary...
We need the future now hayo ya kesho ndugu it's 50/50... Some will deliver some will faill...For the future...
Ni wakati sahihi tupate namba 9 wa ukweli..Tatizo timu nyingine zimeanza kutujulia kwa kuwa wanakaa nyuma muda mwingi ,na sisi tumebaki hivyo bila kubadilisha mbinu za kukabiliana.tunabaki tunalazimisha hivyo hivyo mwisho wa siku tunafungwa tunakaa kimya kama hatujaona tatizo vile.
Mpira tunautawala ila tatizo kwenye kuscore pale mbele.
Kwa sasa under mikel ubavu wa kumfunga ndani nje hamna ndiyo maana mlimfunga yule siyo huyu na si ninyi tu hadi uumie man city kapigwa, Chelsea kapigwa na wataendelea kupigwa tu hakuna namna tuna uwezo huo na tumefanya hivyo na tutaendelea kufanya hivyo pale kwenu ukishinda sana ni sare.Kama kasomwa aje amfunge pale anfield,anfield kupata draw tu haiwezekani. Anfield mwaka wa 4 sasa kwenye epl hatujafungwa.
Tusubirie uone mkuu maana game liverpool na Arsenal sio mbali ni September tu hapo.na uzuri anakuja hapo anfield yaaani hapo tunamalizia hasira zetu zote hapo .
Na bado mkuu yaani hatuwaachi maana dawa yenu tunayo na tiba hamjapata bado tunaelewa hivyo.Kufungwa fungwa kunauma aisee.
ATM, Watford, ATM, Chelsea, Man City, Arsenal, Arsenal. Hii ni kuanzia March Mpaka saa hizi.
Noma sana.
Ukweli ndiyo huo ni heri wewe unaujua maana akina Saka! Holding! Niles!! ndiyo waliowaharibia cheko.the fact kwamba aseno aliingiza vitoto vingi ndio linatuumiza zaidi........
kina holding kweli ndio wakutusumbua?
Na bado mkuu yaani hatuwaachi maana dawa yenu tunayo na tiba hamjapata bado tunaelewa hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu Mkuu mwenzio kwangu ni kama vile hio panic button imewaka mazimaaa...Game 3 za mwanzo tunakutana na ninyi na Chelsea.
Kama hatutapata points 6 kwenye hizo game 2, itakuwa ni wakati wa ku-click panic button.
Duu Mkuu mwenzio kwangu ni kama vile hio panic button imewaka mazimaaa...
Swali rahisi Klopp atakuja na mfumo tofauti na wa juzi mhmh sidhaniiii...
Unless our front 3 wawe more clinical like last year August walivyoanza ligi basi tutakua vizuri na pia wenzetu wapoteane mazima..
YNWA
Brewster na Curtis Jones wanafaaKwa sasa Salah na Firmino wamefikia mwisho wa uwezo wao, they need to find new scenery to rejuvenate their games.
We also need to do the changes as well before it is too late.


