Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hizi ndio habari wqnapenda kusikia Arsenane. Hapa kila fan atakayeputa atalike, comment na kubusu simu zao juu ya hii comment

Tusubiri msimu huu uanze hawafiki Nov hawa wataanza vibweka vyao.
Mimi huwa nipo tofauti na watu walio wengi huwa sipendi kuwa nabii kwamba ikifika kipindi fulani timu fulani itayumba
Daima natembea na wakati uliopo 'yajayo' huwa nayaachia 'WAKATI'
 
Manchester United will submit a bid of £26.7 million for Thiago tonight. The bid is expected to be accepted and now the decision is down to the player and for personal terms to be agreed. Let’s see what happens... #MUFC #FCBayern #Thiago
 
Thiago tunaenda kumchukua kaeni ubahili wenu mtaambila nafasi ya 5 next season
 
Hii team haina hela za kusajili ni maskini Sana tembezeni bakuli basi
 
Arsenal haijawahi kubadilika. Wakati utakujibu

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
tapatalk_1598735788498.jpg
 
Mane ataacha pengo kubwa sana wadau

Hilo ni pigo hasa

Tusichukulie kiurahisi kuondoka kwa Mane
Aisee hili ndugu yangu kwangu naona sio sawa kabisa..

Mane akiwa kwenye peak ni hatari zaidi ya Salah, Bobby nk

Huyu angestaafu hapa hapa...

Walivyo FSG washaona kuna faida ya kutosha walimnunua £25m sasa wanauza £90m aafu wanamnunua replacement Sarr kwa £40m haha chezea FSG na Edwards lol..

Kama lazima kuuza ili tununue basi wauzwe Salah🤔🤔ama my boy Bobby 😀😀😀

YNWA
 
Aisee hili ndugu yangu kwangu naona sio sawa kabisa..

Mane akiwa kwenye peak ni hatari zaidi ya Salah, Bobby nk

Huyu angestaafu hapa hapa...

Walivyo FSG washaona kuna faida ya kutosha walimnunua £25m sasa wanauza £90m aafu wanamnunua replacement Sarr kwa £40m haha chezea FSG na Edwards lol..

Kama lazima kuuza ili tununue basi wauzwe Salahama my boy Bobby

YNWA
Bobby nilidhani niko peke yangu maana ni toka muda tu naona kama hatoshi kuwa Forward
 
Bobby nilidhani niko peke yangu maana ni toka muda tu naona kama hatoshi kuwa Forward
Bwana wee yupo dry spell hatari sana aisee...

Hata ile passion hana tena, link of play nayo shinda sijui ndio uwezo umeisha pale ama ni wear and tear maana ki ukweli kwa vile tuna kikosi finyu basi hawa wachezaji wanatumika balaaa... Anza na Kombe la dunia, Afcon, Copa America, Euro, Nation Cup, Internationals, EPL, UCL, Carabao, Club World Cup na FA yaaani wametumika haswa sishangai kuwaona wame drop kiasi hiki....

Usajili hatukwepi kama tunahitaji kwenda sawa na wengine, Chelsea soon watavuka £200m kununua wachezaji dirisha hili, ina maana Covid imetuchapa sisi tu...

Muda utasema ndugu tuwe na subira...

Hizi gemu 3 za mwanzo pengine ndio zitaweka mambo sawa nini kifanyike dirisha hili..

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom