permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,333
- 15,049
Kuwa world class manager siyo kitu permanent, ni kitu kilicho katika transition, hivyo hupaswi kuogopa kuhusu hili.Hao ndio world class managers kwasasa
Kuwa world class manager siyo kitu permanent, ni kitu kilicho katika transition, hivyo hupaswi kuogopa kuhusu hili.Hao ndio world class managers kwasasa
Kuwa world class manager siyo kitu permanent, ni kitu kilicho katika transition, hivyo hupaswi kuogopa kuhusu hili.
Kwahiyo Klopp aondolewe aje nani sasa?
Kama Chelsea kapewa Lampard, Arsenal kapewa Arteta tena anamfunga huyu world class manager, Man Utd kapewa Ole, kwa nini uamini Klop hana mbadala??
Acha kuwashwa washwa, Man Utd is my favorite team and Mourinho is my best manager of the the times. Ukitaka anzisha timu yako ndio uwapangie watu ni kipi cha kuandika.
Wabongo mbona hizi tabia tunazo sanaMshabiki wa Man Utd anaichagulia Liverpool FC kocha mzuri.


Mkuu haya maneno ya kujipa moyo tu ila uhalisia ule ndio uwezo wetu kwa sasa.Lakini haina shida bado Timu naamini ipo vizuri
Nje kidogo ya mada, kop maneno shida na dogo huwa unashindwaje kuyaandika kwa ufasaha make Mara kadhaa unayavuruga mpaka yanaleta maana tofauti na ilivyokusudiwaFabby is class man... Shinda ni Klopp ataona asisajili CB mwingine ili ku accommodate fit again Hendo na Fabby awe ana deputise CB lol..
Gomez akicheza RB ni mzuri ku defense ila sio kuleta ma assist ya kutosha...
The way i see jana performance tunahitaji usajili pia wa RB hatuna muda wa trial and error aisee... Huyu Neco apelekwe kwa mkopo kwingine aisee..
YNWA
my confidence in our retaining the EPL next season hinges (not relies) on the below match statistics in our last two consecutive defeats in the Community Shield attempts.am personally not worried at all.
mara nyingi (si mara zote), it's natural kwamba timu inapokuwa league champion, season inayofuata huwaga ni slow starter. it's the absence of immediate hunger from the players due to post-coronation hangover but it's the gaffer's responsibility to instill it back quick.
am sure we will be good and we're favourites to retain the EPL.
kwa upande mwingine, let's give credit where it's due. Arteta is quite a good tactician. tusimchukulie poa kabisa.
remember he beat us in the league last season and he beat ManCity & Chelsea in the FA Cup - he's that good.
I like the way he sets his team up (I see him as a Mourinho & a Pep rolled into one - his team defends as a unit and attacks en masse).
for me if he will manage to get his charges play like that consistently, he's an EPL title contender next season.
Since league kurudi mpaka community shield sioni kabisa morale ya wachezaji labda kama muujiza ukitokea ligi ikianzaNaogopa kusema kwamba round ya kwanza pride yetu ya kutofungwa Anfield inafikia kikomo, kama tunaendelea na hiki kiburi cha kujiona tuna timu isiyohitaji kusajili.
Mkuu naona upo kwenye kundi la superstition haswa hahahaamy confidence in our retaining the EPL next season hinges (not relies) on the below match statistics in our last two consecutive defeats in the Community Shield attempts.
there's a striking similarity as we seem to have dominated in all key stats in both games. please don't call me superstitious, because am not!
2019 vs ManCity (Community Shield):
View attachment 1553033
2020 vs Arsenal (Community Shield):
View attachment 1553038
Timu zingine zilikuwa hazina mashabiki? Mbona zilifungwa kwao?Sababu kubwa ya Liva kuwa ngumu kufungwa kwenye uwanja wa Anfield ni kutokana na uwepo wa mashabiki.
Sasa msimu huu tunaanza mashabiki hakuna..
Jiandaeni kisaikolojia!
yeah...Mkuu naona upo kwenye kundi la superstition haswa hahahaa
2019
Liverpool 1 (4) goli 73'
Man city 1 (5) goli 12'
Tukafungua na Norwich ambayo ilikuwa imepanda daraja (home)
2020
Arsenal 1 (5) goli 12'
Liverpool 1 (4) goli 77'
Tunafungua na Leeds ambayo imepanda daraja (home)
Asante Mkuu kwa ushauri nitajitahidi kuyaweka sawa ndugu yangu...Nje kidogo ya mada, kop maneno shida na dogo huwa unashindwaje kuyaandika kwa ufasaha make Mara kadhaa unayavuruga mpaka yanaleta maana tofauti na ilivyokusudiwa
Mshabiki wa Man Utd anaichagulia Liverpool FC kocha mzuri.
Hahahaha mkuu tuwe na subira aisee yawezekana na wengine wakapoteana kama sisi 😂😂😂....TUSIWE NA MATEGEMEO MAKUBWA MSIMU HUU, TUTAPATA KISUKARI.
Mkuu naona upo kwenye kundi la superstition haswa hahahaa
2019
Liverpool 1 (4) goli 73'
Man city 1 (5) goli 12'
Tukafungua na Norwich ambayo ilikuwa imepanda daraja (home)
2020
Arsenal 1 (5) goli 12'
Liverpool 1 (4) goli 77'
Tunafungua na Leeds ambayo imepanda daraja (home)
Kufungwa fungwa kunauma aisee.
ATM, Watford, ATM, Chelsea, Man City, Arsenal, Arsenal. Hii ni kuanzia March Mpaka saa hizi.
Noma sana.
Mshabiki wa Man Utd anaichagulia Liverpool FC kocha mzuri.