AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,140
Sasa kukosea timu Za Spain huko Kunahusiana vipi Na LiverpoolSasa ata wewe ujui Kepa katokea wapi alafu unajiita shabiki wa liverpool.
Sasa kukosea timu Za Spain huko Kunahusiana vipi Na LiverpoolSasa ata wewe ujui Kepa katokea wapi alafu unajiita shabiki wa liverpool.
Points 9 kibindoni ziko tayari
Shinda ya hili ni kwamba the more we wait the more desperate we will appear lool...Klopp on transfers: "There's a long way to go until the 6th October. We will see how much we can or want to spend, these kind of things." #LFC
Angalia uyu takataka..Points 9 kibindoni ziko tayari
Siku nyingi sana nilishakukataza na kukuonya ya kwamba usiwe unakuja kupost humu ndani huku ukitambua na kufahamu kabisa ya kwamba umetoka kuvuta bange, naona uelewi tuAngalia uyu takataka..
Ukipigwa na wale Arse8 utakuwa na wakati mgumu msimu huu.Siku nyingi sana nilishakukataza na kukuonya ya kwamba usiwe unakuja kupost humu ndani huku ukitambua na kufahamu kabisa ya kwamba umetoka kuvuta bange, naona uelewi tu



SawasawaUkipigwa na wale Arse8 utakuwa na wakati mgumu msimu huu.
#CFC![]()
Kama mkifungwa na wale Arse8 itakuwa ni aibu sana. Na inaweza kuwa Gundu msimu mzima mkazingua.
Kwaupande wangu nawaombea majogoo washinde game ya leo, kwasababu Arsenal wakishinda hatutalala.Kama mkifungwa na wale Arse8 itakuwa ni aibu sana. Na inaweza kuwa Gundu msimu mzima mkazingua.
Kutetea EPL will be hard not easy.Klopp on Community Shield: "We had 2 weeks training and the boys worked really hard. We are preparing for one of the most intense season of our lives."
Ivi hapa kwenye "The Most Intense Season Of Our Lives" Klopp hasa amemaanisha nini?
NOTE: Sijakusudia Tafsiri ya hayo maneno bali kama yupo anaeelewa nataka anifahamishe lile alilokusudia mpaka akasema hivyo.
Hahahahahah kwann msilale mkuu?Kwaupande wangu nawaombea majogoo washinde game ya leo, kwasababu Arsenal wakishinda hatutalala.
Keita Alitakiwa kuanza game hii
Genggenpressing is doomed bro...Kutetea EPL will be hard not easy.
Wewe ukiwa champion tayar una ubora hivyo opponents lazima wakae chonjo.
Likewise huenda klopp anataka back 2 back ili kuprove wrong. Huenda tukaiona heavy throttle geggeng pressing ikitumika sana msimu huu.
Inspiration words to the boys na ni vita ya nje ya uwanja kwanza.