Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hao ndio world class managers kwasasaKwamba unaamini Klop akiondoka Liver haiwezi kuwa na kocha mzuri tofauti na huyo Pep??
Hao ndio world class managers kwasasaKwamba unaamini Klop akiondoka Liver haiwezi kuwa na kocha mzuri tofauti na huyo Pep??
Ukweli unauma
WijnaldumNani huyo ?
Arsenal ndo wa kumlalamikia Mikel maana game hii arsenal walikuwa wanaimaliza mapema sema vile vitoto havijatulia kabisa vimekosa goli karibia tatu.
Liva kasomwa na mikel na kadhibitiwa refer last game .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufungwa fungwa kunauma aisee.
ATM, Watford, ATM, Chelsea, Man City, Arsenal, Arsenal. Hii ni kuanzia March Mpaka saa hizi.
Noma sana.
Hatujazoea kufungwa mkuu lazima tuumie.
Klop is one of the arrogant bosses out there, very arrogant............ he will stick with his guns to the bitter end!Maybe this would serve Klopp as a wake up call. We need to see some reactions in this window.
mishahara ya mboga ambayo wewe hadi kufa kwako hautokaa ulipwe hio hela mboga na singida fc yako. Kufungwa ni jambo la kawaida tunasonga mbele.Mnawalipa wachezaji mishahara ya mboga, usajili mnajibana, mnatafuta cheap player ambao hawana effect, minamino mmepigwa,
Achen ubahili
the fact kwamba aseno aliingiza vitoto vingi ndio linatuumiza zaidi........Nawashangaa mashabiki wa Liva mnavyolumbana kuhusu kiwango chenu cha leo wakati Arsenal alikosa wachezaji wake wengi muhimu wa kikosi cha kwanza.
Watu wanamlaumu Gini, wengine Milner na wakati huo huo wachezaji wote walikuwepo kwenye benchi kasoro TAA tu!
Arsenal wangemlaumu nani?
Usijisifu unambio, msifu na anaekukimbiza!
Wote walistahili kushinda lakini imetokea Arsenal kastahili zaidi.
###
Sababu kubwa ya Liva kuwa ngumu kufungwa kwenye uwanja wa Anfield ni kutokana na uwepo wa mashabiki.Kama kasomwa aje amfunge pale anfield,anfield kupata draw tu haiwezekani. Anfield mwaka wa 4 sasa kwenye epl hatujafungwa.
Tusubirie uone mkuu maana game liverpool na Arsenal sio mbali ni September tu hapo.na uzuri anakuja hapo anfield yaaani hapo tunamalizia hasira zetu zote hapo .
kweli joe alipoenda rb mambo yakatulia jamaa linaenda kitemi mnooFabby is class man... Shinda ni Klopp ataona asisajili CB mwingine ili ku accommodate fit again Hendo na Fabby awe ana deputise CB lol..
Gomez akicheza RB ni mzuri ku defense ila sio kuleta ma assist ya kutosha...
The way i see jana performance tunahitaji usajili pia wa RB hatuna muda wa trial and error aisee... Huyu Neco apelekwe kwa mkopo kwingine aisee..
YNWA
pumba .Sababu kubwa ya Liva kuwa ngumu kufungwa kwenye uwanja wa Anfield ni kutokana na uwepo wa mashabiki.
Sasa msimu huu tunaanza mashabiki hakuna..
Jiandaeni kisaikolojia!
napata uoga sana kui disrupt ile midfield ya sasa. if it ain't broken, why fix it? they do have an off day occasionally (like today) but who doesn't?
sawa.... unaweza kuwa upo right pia!mmmmhhhhh........ yale yale ya kutoi-disrupt front 3,,,,,........ mid yetu imeshachuja, hendo,millie&gini walitakiwa kuungana na lalana kuondoka!
tusijidanganye tuta-overachieve this season, hatuna tena x-factor ya kutubeba!
nonsense watu tunajadili ni namna ipi tuboreshe kikosi kwa mapngufu yaliyopoIdiots are strategically divided in such a way that you meet two or three in a day, mine is here.