OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Unaishi dar hujui nauli ya kwenda Tanga alafu unajiita ushabiki wa liverpoolPowa ngoja Asubuhi niibukie Ubungo




Unaishi dar hujui nauli ya kwenda Tanga alafu unajiita ushabiki wa liverpoolPowa ngoja Asubuhi niibukie Ubungo




Nipo Dar lakini nauli ya Kimbiji siifahamuUnaishi dar hujui nauli ya kwenda Tanga alafu unajiita ushabiki wa liverpool![]()
Bibimawe Jason Sancho mmefikia wapi?Niambie ndani ya miaka miwili hii mchezaji gani wa maana mmesajili


Unaishi dar hujui nauli ya kwenda Tanga alafu unajiita ushabiki wa liverpool![]()
Basi ukajiona kichwaa mwenyewe? Haya maswali tulikua tunaulizana primary leo hii jibaba linauliza maswali ambayo hata mtoto mdogo anaweza kuyameza google.
Mnataka kutuaminisha kujua mambo hayo ndio kujua mpira. History ipo google yawezekana hata wewe umegoogle.
Hapo usijesema nimekufokea. Naheshimu nafasi zenu ila tusiweke vigezo katika kuheshimiana ukizidiwa hoja kausha.
Kijana nakusalimu!! Naona unanikwepa![]()
Nipo Dar lakini nauli ya Kimbiji siifahamu
Hiyo pesa bora tumsajili bakanyokoHuyu Thiago Alcantara ndio mchezaji tunayemhitaji pale Anfield
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu kama nilivyokuambia kuhusu wajukuu wa Hitler wametimiza kazi nzuri waliyoianza kwa uzuri pia kongole kwaoPSG huyoooooo
ahahahah sina mbavu umeamua kubadilisha channel hewaniWale waliosupport PSG wako wapi? Lazima wajifunze kichagua vya Kushabikia
Hahahah, mwenyewe nimecheka balaaahahahah sina mbavu umeamua kubadilisha channel hewani
Kaona isiwe tabu kwani hii ni LiverpoolHahahah, mwenyewe nimecheka balaa