Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kabisa ndugu mie Ikay nilivyomuona ameanza huku akiwaacha Silva, Bernado na Mahrez benchi niliona watapata taabu hata watangazaji walikua wanasema pengine baada ya kuona response ya Lyon abadili mfumo chap lakini wapiiii kakomaa vile vile...Kwenye ile game Guandoga na Jesus hawakupaswa kuanza na wala hakupaswa kuchezesha mfumo wa uoga wa 3-5-2. Alikuwa achezeshe 4-3-3 au 3-4-3.
Front Three ilikuwa iwe>
Bernardo - Sterling - Mahrez
Kwenye 3-4-3 kati aweke>
Cancelo-Rodri-KDB-Walker
Kwenye 4-3-3 kati aweke>
Cancelo- Rodri - KDB
Lakini jamaa mipango imekuwa mengi mpaka anajichanganya.
Pep has damn some balls in him sio utani yaaani jamaa hapangiwi wala nini yeye akiamua selection ndio hivyo hivyo... Lyon had a game plan to sit deep and counter as a unit with no easy ride...
With this kind of mentality utadhani alikutana na Brighton nk.. This is UCL na Lyon wanajua once in blue moon kujikuta wapo on that level of last 8 hata sikumbuki mara ya mwisho walifika hapo lini...
Mshahara wa Pep kwa mwaka before adds on ni £15m 🙆♀️🙆♀️🙆♀️ si mchezo guys... He is paid that salary to compete at the highest level to conquer the rest na ndio maana mpaka wachezaji aki point wanaletwa chap na mishahara yao pia yakueleweka hivyo maumivu waliyonayo sio ya kawaida kuanzia Mansour, Txikki, Solano, Pep, wachezaji, mashabiki nk
Pride comes before fall..
YNWA
