Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunaweza kutofautiana kimtazamo ndugu ila wote tunataka mafanikio kwa timu yetu that the beuaty of football...

Nani auzwe nani anunuliwe wanaamua wao kulingana na mahitaji ya timu na nchezaji kua willing ku join na timu yake kua willing kuuza..

ila hili la hawa ma pancha kwangu naona linatunyima a competing edge full throttle mpaka mickey trophies..

Hio taasisi ndio aliwaleta akina Klavan, Karius, Solanke, ambao ni mediocre signings hivyo hata chini ya Klopp huyu guru walichemka ku kutamani kusajili wachezaji quality ni ku maintain status competing at the highest level na kuleta mafanikio zaidi...

Kutetea ubingwa EPL sio a walk in the park to be precise hii itakua ngumu kuliko last season that why its my own wish kuona proper recruitment kumpa mwalimu different dynamics tofauti na sasa ambapo ni 4 3 3 all weeks..

Sio ndoto yangu kuona Klopp heading the Shankly way mpaka akatemwa na timu just because Shankly failed to supplement his aging squad because they were his red army and they had won so much.

We need proper recruitment ku support hawa waliopo na wawe young may be 22 to 25yrs ili they take over as this warriors age.. Hio ndii itatupa continuity na kutuokoa yaliowakuta Arsenal, Manchester United, Barcelona nk

YNWA
Well said Kopite

Succession plan very very much important for us
 
Game 10 za kwanza tukicheza karata vema we'll be on top

Leeds United (H)
Chelsea (A)
Arsenal (H)
Aston Villa (A)
Everton (A)
Sheffield United (H)
West Ham United (H)
Manchester City (A)
Leicester City (H)
Brighton & Hove Albion (A)
Asee hapo na yule kipa wenu amekuwa pazia mnapoteza karibu zote..

Mark this
#CFC

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Sisi tunachojivunia ni Fanbase na sio Plastic Fans.

Kuna Timu zina mashabiki wengi lakini sio Fanbase bali ni Plastic Fans waliojiunga kipindi Timu hizo zinabeba Makombe, They are nothing but Glory Hunters.
Timu hizo ni Chelsea, Man City na Barcelona.

• Washabiki wa Barcelona wamejiunga 2005 baada ya kuvutiwa na Ronaldinho, na 2009 baada kuvutiwa na Messi. Hawa ni Plastic Fans na watatoweka watabakia wale wa Real tu.

• Washabiki wa Chelsea watakupa historia ya Vialli kama waliwahi kumuona akicheza kumbe wanagoogle, Wengi wao ni Plastic Fans wamejiunga mwaka ilioanzishwa Timu hiyo 2005 kumfata Mourinho aliyekuwa akibeba Makombe! Timu ikipotea na wao watapotea.

• Washabiki wa Man City wao ndiyo kabisa hamna kitu.

But sisi Liverpool hatuhitani Mademu Plastic Fans bali tunahitani real Fanbase. Wengi wetu timeipenda Liverpool ikiwa sawa na Bolton haijui hata kombe linabebwaje.
Acha kuandika upumbavu kwanini timu zinaongeza mashabiki.

Unataka wote wawe liverpool..au liverpool ndo inamashabiki bora zaid ..na mashabiki waliyoongezeka msimu huu wa liverpool imefanya vizuri nao ni plastic fan?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Adjustments.jpg
 
Well said Kopite

Succession plan very very much important for us
Sure ndugu yangu...

Imagine tulipotoka ndugu ule usajili wa ajabu ajabu na tulipo sasa pure gems kama Kai, Mbappe, Timo nk kutamani kuja kutu join..

Muulize Aaron Arsenal, DullyJr nk walipo sasa sio bahati mbaya ni usajili na kushindwa timing za kuachia wachezaji waliochoka umri kwa wakati...

Failing to plan is planning to fail,..

Muda utasema..

YNWA
 
Sisi tunachojivunia ni Fanbase na sio Plastic Fans.

Kuna Timu zina mashabiki wengi lakini sio Fanbase bali ni Plastic Fans waliojiunga kipindi Timu hizo zinabeba Makombe, They are nothing but Glory Hunters.
Timu hizo ni Chelsea, Man City na Barcelona.

• Washabiki wa Barcelona wamejiunga 2005 baada ya kuvutiwa na Ronaldinho, na 2009 baada kuvutiwa na Messi. Hawa ni Plastic Fans na watatoweka watabakia wale wa Real tu.

• Washabiki wa Chelsea watakupa historia ya Vialli kama waliwahi kumuona akicheza kumbe wanagoogle, Wengi wao ni Plastic Fans wamejiunga mwaka ilioanzishwa Timu hiyo 2005 kumfata Mourinho aliyekuwa akibeba Makombe! Timu ikipotea na wao watapotea.

• Washabiki wa Man City wao ndiyo kabisa hamna kitu.

But sisi Liverpool hatuhitani Mademu Plastic Fans bali tunahitani real Fanbase. Wengi wetu timeipenda Liverpool ikiwa sawa na Bolton haijui hata kombe linabebwaje.
Yan mtu usipokua unaingia ingia majukwaa mengine ya mpira huwa kuna upumbavu mwingi mnajazana vichwani mwenu.

Teh,, hizi keyboard zetu.!! Mkuu umeandika kama mtu au ni kwasababu una kifaa cha mawasiliano na wewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom